PICHA: ZARI AJIFANANISHA NA BEYONCE KWA JINSI WANAVYOKODOLEA SIMU ZA WAPENZI WAO WANAPOZITUMIA


zari
Wapenzi Diamond na Zari wamekuwa wakifananishwa na couple tofauti za mastaa duniani kwa picha na  pozi tofauti. Kupitia instagram yake Zari amejifananisha na Beyonce kwa jinsi anavyofuatilia shughuli za Diamond kwenye simu yake muda wote wanapokuwa pamoja.
zari 1 zari 2

Comments

Popular posts from this blog

HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU

YOUNG D AZUNGUMZIA MAMBO 6 KATIKA KIPINDI CHA MKASI JANA