Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukungara(MB) akiteta jambo na msani wa filamu nchini Bi. Lulu Michael wakati wa hafla ya kuzindua mfumo wa uuzaji wa Filamu nchini kupitia mtandao ulioanzishwa na Kampuni a Usambazaji wa Filamu Proin Poromotion jana jijini Dar es Salaam.Picha na Frank Shija,WHVUM
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukungara(MB) akizungumza na wadau wa tasnia ya filamu (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kuzindua mfumo wa uuzaji wa Filamu nchini kupitia mtandao ulioanzishwa na Kampuni a Usambazaji wa Filamu Proin Poromotion jana jijini Dar es Salaam.
chanzo: fullshangweblog.com
Comments
Post a Comment