LORI LALIPUKA MIKUMI MKOANI MOROGORO



Lori lililokuwa limebeba mapipa ya lami likiteketea kwa moto baada ya kulipuka mapema leo asubuhi maeneo ya Mikumi mkoani Morogoro. Chanzo cha mlipuko huo bado hakijafahamika.


Baadhi ya watu wakishuhudia tukio hilo la ajali.
(PICHA NA MICHUZI BLOG)(P.T)

Comments