VIDEO YA "NITAMPATA WAPI" YAVUNZA REKODI YA VIDEO ZA DIAMOND PLATNUMZ YA KUTIZAMWA NDANI YA MASAA 24
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Video ya hii single imegonga views zaidi ya laki moja ndani ya saa 24 toka iachiwe ambapo inakua single nyingine mpya ya Diamond kupata views kubwa ndani ya saa chache.
Audio pia nayo imeweka rekodi kutokana na Watanzania kuendelea kusupport vitu vyao ambapo imepata downloads za kutosha kupitia mtandao wa mkito.com
Taasisi mpya ya binafsi inayotoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu imeanzishwa, kwa wale ambao ndugu zao wamekosa mikopo kupitia taasisi ya serikali ya utoaji wa mikopo ya elimu ya juu HESLB wanaweza kuwashauri waombe huko. taasisi hiyo inaitwa HLSSF ( Higher Learning Students Supporting Fund) kwa maelezo zaodi tembelea tovuti hii hapa http://www.hlssf.org/ Taasisi hii inatoa huduma zingine kama ifuatavyo Inatoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa ajili ya kuwasaidia kulipa karo,kununua chakula,kulipia gharama za malazi,kununua vitabu na kufanya utafiti pamoja na mafunzo kwa vitendo. Inawatafutia scholarship za kusoma ndani na nje ya nchi wanafunzi wote ambao wanasifa za ufaulu stahili kadiri ya masharti ya wafadhili. Inawatafutia kazi wahitimu wote wa vyuo vikuu.Hii inafanywa kwa kuwakutanisha wahitimu na waajiri kadiri ya fani zao. Inatoa fursa ya kuwasaidia wahitimu wa vyuo na vijana wengineo wanaotaka kujiajiri katika fani za kiso...
Chukua japo dakika 10 za kusoma kitabu cha mwanamalundi, mtu maarufu aliyewahi kutokea katika historia ya kabila la kisukuma, hizi ni picha nilizozitoa katika kitabu hicho chenye karatasi kama 7, ni mojawapo ya kitabu nilichotamani kukisoma kupata ukweli juu ya mtu huyu, kwa bahati nzuri nimekikuta kwa mama yangu mkubwa katika kabati lake la vitabu, hivyo nikaona sio mbaya nikiweza kushare na marafiki zangu ambao nao wanatamani kujua historia ya mtu huyu maarufu kuwahi kutokea hapa Tanzania.
Comments
Post a Comment