PICHA HII MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ NA HIKI KIFAA YAZUA GUMZO MTANDAONI

kama waingireza wanavyosema "what's going on" hapa ndo kila mtu anajiuliza ni baada ya Diamond Platnumz kupost picha hii ikiwa na maneno haya "Bahari ishachafuka ndugu zangu, ntafutieni mfuko nitapike...." 

fans na wasio fans wake wamekuwa na maswali mengi wakijiuliza je star huyu wa bonge ana mdate aliyepiga naye picha hii? au ndo yuko kwenye process za kutoa wimbo mwingine mpya?

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA