PICHA ZAWA NGUMZO BAADA YA KUONYESHA HAZINA KIFUANI YA .V.MONEY, NI PICHA ZA SINGLE MPYA YA BARNABA FT VANESSA MDEE "SIRI"
Hata hivyo haiko mbali na wewe manake November 18 2014 ambayo ni Jumanne wiki hii ndio spika zako zitakupa dakika za hii kolabo inayoitwa siri ambayo inamuhusisha mkali mwingine aitwae Barnaba. @BarnabaClassic
Comments
Post a Comment