FLAVIANA MATATA APATA DEAL NCHINI ITALY LA KUTANGAZA VIPODOZI



Flaviana Matata ni jina la Mtanzania ambalo kila siku zinavyosogea linazidi kutajwa zaidi kwenye orodha ya Watanzania wanaoishi na kufanya kazi nje ya nchi, wanaliwakilisha vizuri taifa la Tanzania na hata kukumbuka pia nyumbani.
Headlines zake kubwa zilizofanya wengi wawe upande wake pia ni ishu aliyoibuni kupitia Flaviana Matata Foundation kuwasaidia Watoto wa kike shuleni.
Kingine kipya kwa sasa ni Flaviana matata kuendelea kupata mafanikio kwenye kazi ya mikono yake baada ya kupata dili la kutangaza vipodozi vya Kiko Milano vya Italy kwenye kampeni ya Modern Tribe kwa mujibu wa >> 8020Fashionblog

Comments

Popular posts from this blog

HABARI NJEMA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU

YOUNG D AZUNGUMZIA MAMBO 6 KATIKA KIPINDI CHA MKASI JANA