PICHA: WEMA SEPETU AWACHANA WANAOMCHAMBA KUHUSU MIGUU YAKE Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps April 20, 2015 Naomba niwaulize nyinyi mnaojiona miungu watu.... Mlitaka nijiongeze nyama miguuni kwangu au...? Ndo ilivyo na kuacha kuvaa nguo za kuionesha siwezi... Ntavaa tu... Yaani wala siwezi acha... Iwe mibaya iwe ina makovu iwe na michirizi ni Ya Wema Sepetu... na kwakuwa ni yangu basi nita i embrace.. Tuko pamoja eeh... Sasa muache vifimbo vyangu... maana ndo Mungu alonibarikia navyo.... Mchana mwema wajameni...😒😒😒😒 A photo posted by wemasepetu👄 (@wemasepetu) on Apr 20, 2015 at 2:47am PDT Oh nilitaka kuisahau hii... Happy Sisters.... @nsepetu @nsepetu @nsepetu 😍😍😍😍😘😍😍 A photo posted by wemasepetu👄 (@wemasepetu) on Apr 20, 2015 at 2:35am PDT Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Comments
Comments
Post a Comment