VIDEO: ALIYENUSURIKA GARISSA ASIMULIA ALIVYOISHI SAA 53 BILA KUJIGUSA
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
07 Apr
Cynthia
Cynthia Cherotich ni mmoja wa waliobahatika kuwa hai na kukwepa mauaji yaliyofanyika katika chuo Kikuu cha Garissa wiki iliypita. Mtangazaji wa runinga ya NTV, Victoria Rubadiri ameripoti taarifa ifuatayo ambapo Cynthia anaeleza kilichomtokea...
Zao la pareto ni miongoni mwa mazao ambayo wakulima wamekuwa wakipunguza na kuacha kuyalima kabisa, huenda ni kutokana na bei yake kuwa chini au soko sumbufu. Kamera ya Benjamin Kaminyonge ilipita maeneo ya wilaya ya Makete, kata ya Matamba na kuona zao hilo likiwa kwenye shamba la ekari moja ndani ya kijiji kizima huku kukiwa na mazao kama mahindi, ngano, maharage na alzeti kwa wingi. (picha: benjaminkaminyoge.blogspot.com)
pande hizi ni za kariakoo maeneo ya msimbazi nilikuwepo mida ya mchana,pande hizi watu hawakosekani kuna nyomi ya watu kama unabisha nenda saa nane usiku kariakoo na utakuta watu wanapiga mzigo kama kawaida!!!!
Taasisi mpya ya binafsi inayotoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu imeanzishwa, kwa wale ambao ndugu zao wamekosa mikopo kupitia taasisi ya serikali ya utoaji wa mikopo ya elimu ya juu HESLB wanaweza kuwashauri waombe huko. taasisi hiyo inaitwa HLSSF ( Higher Learning Students Supporting Fund) kwa maelezo zaodi tembelea tovuti hii hapa http://www.hlssf.org/ Taasisi hii inatoa huduma zingine kama ifuatavyo Inatoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwa ajili ya kuwasaidia kulipa karo,kununua chakula,kulipia gharama za malazi,kununua vitabu na kufanya utafiti pamoja na mafunzo kwa vitendo. Inawatafutia scholarship za kusoma ndani na nje ya nchi wanafunzi wote ambao wanasifa za ufaulu stahili kadiri ya masharti ya wafadhili. Inawatafutia kazi wahitimu wote wa vyuo vikuu.Hii inafanywa kwa kuwakutanisha wahitimu na waajiri kadiri ya fani zao. Inatoa fursa ya kuwasaidia wahitimu wa vyuo na vijana wengineo wanaotaka kujiajiri katika fani za kiso...
Comments
Post a Comment