WHITE PARTY KURUSHWA LIVE KUTOKA MLIMANI CITY 1.5.2O15 KUPITIA MTANDAONI..ANGALIA NAMNA YA KUIONA HAPA

1. Piga *150*01# kwa TigoPesa, *150*00# kwa MPESA au *150*60# kwa AirtelMoney
2. Nenda namba 4 “Malipo” MPESA, “Lipa kwa MPESA” kwa TIGOPESA au“LipiaBili” kwa AirtelMoney
3. Chagua Namba ya Kampuni kwa MPESA na Tigopesa. Kwa AirtelMoney nenda kipengele “Nyinginezo”
4. Ingiza namba ya kampuni ambayo ni 213040
5. Ingiza namba ya kumbukumbu ya malipo ZARI AU ZWP
5. Ingiza namba ya kumbukumbu ya malipo ZARI AU ZWP
6. Ingiza kiasi cha TSH 3,000
7. Ingiza namba ya siri
7. Ingiza namba ya siri
8. Hakiki.
9. Utapokea ujumbe kwa sms ikiwa na code ya kuweka kwenye tovuti ili kuona tukio. Tovuti yetu ni www.zariwhiteparty.com
Comments
Post a Comment