Posts

Showing posts from November, 2010

COMMUNITY DAY ILIVYOFANA LEO ST. AUGUSTINE UNIVERSITY

Image
banda la public relations lilipendeza sana watangazaji wa radio SAUT wakionyesha jinsi wanavyofanya shughuli zao hivi ni vifaa mbalimbali vinavyopatikana katika studio ya radio SAUT

What's My Name? Feat Drake Official Behind the Scenes

ROSE SHAYO MISS EARTH TANZANIA 2010 AKIWA KAMBINI...

Image
Good luck Rose

JAMANI HII NDIO MUSOMA HOTEL YA LEO

Image
Watanzania hii ndio musoma Hotel ya Leo nipe maoni mdau picha ni kwa msaada wa Augustino Mgendi

HAYA NI NDIYO MAISHA BORA AU BORA MAISHA?

Image
AMBULANCE KIJIJINI PETU. USAFIRI NA MIUNDO MBINU. KWAO MBOGA SABA KUJISEVIA KWETU MULO MUMOJA WA MANATI. TWAISHI KAMA NYOKA. DARASA KAMILIFU NA UPEPO MWANANA HAIHITAJI FENI WALA AIR CONDITION. NYUMBA ANAYOISHI MWALIMU MKUU. DARASA LA MWANANGU KARNE YA 21. KWAO GESI NA UMEME. MAKAZI YETU. MAJI SAFI KWA KILA M... MWENYE HELA. MAJI SAFI KWA KILA MWENYE NIA. MAJI YETU KWAO MAJI TAKA. HALI YAKUKATISHA TAMAA. MAHAKAMA YA KITAA ISHAAMUA. TWASOMA ILI IWEJE? WAVUMBUZI WETU WANAUMIZA VICHWA KUVUMBUA LAKINI INAFIKA MAHALI WANAGOTA NA KUBAKI MASKINI. TUTAFANYAJE SASA? ISHAKUWA, WACHA TULEWE!

HIVI NDIVYO ILIKUWA MWANZA KABLA YA MATOKEO YA UBUNGE KUTOLEWA

Image
WAANDISHI WA HABARI WAKIHAHA KUJIKOSHA NA MAJI MARA BAADA YA POLISI KURUSHA MABOMU YA MACHOZI KUWATAWANYA WANANCHI WALIOKUWA WAKIFANYA FUJO KATIKA ENEO LA OFISI ZA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA JANA JIONI. AKISIMAMA JUU KATIKA NGUZO ZA GETI KUU OFISI ZA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA KIJANA HUYU ALIKUWA AKILIA KWA MACHUNGU KWA NINI MATOKEO YANACHELEWA KUTANGAZWA. MGOMBEA UBUNGE WILAYA YA NAYMAGANA BW. WENJWE AKIWATULIZA WANACHAMA WAKE KUWA WATULIVU NA KUYASUBIRI MATOKEO RASMI MARA BAADA YA UHAKIKI KUFANYIKA INGAWA TAYARI KULIKUWA NA DALILI ZA WATU KUCHOKA KUYASUBIRI MATOKEO HAPA ILIKUWA SAA NANE NA DK 45 MCHANA. KAMANDA WA POLISI MKOA WA MWANZA SIMON SIRO ALIWASIHI WANANCHI KUWA WATULIVU NA KUTOFANYA VURUGU KWANI JESHI HILO LIKO MAHALI HAPO KULINDA AMANI NA USALAMA HUKU LIKI HAKIKISHA ZOEZI HILO KUWA LINAFANYIKA KWA HAKI NA WANANCHI KUSHEREHEKEA USHINDI WAO KWA AMANI. WATU MAELFU KWA MAELFU KUTOKA KATA ZOTE ZA WILAYA ZOTE MBILI (NYAMAGANA NA ILEMELA) WALIANDAMANA