Posts

Showing posts with the label VIDEOZ

Video: Nikki Mbishi Feat Nemo – Tulikuwepo

Image
From Sam Magoli The Project,Nikki Mbishi one of the best hip hop artists in East Africa had featured the RnB singer,Nemo on the song called “TULIKUWEPO” produced by Kiba Drama and directed by Kimamba of Mitikasi Films.

DIAMOND PLATNUMZ FT P'SQUARE KIDOGO (OFFICIAL VIDEO)

Image

kicheche C Feza Official HD Video

Image

VIDEO MPYA YA RAYMOND WA WCB- KWETU

Image

AFISA UHAMIAJI AKIMBANA MCHINA KWA KUISHI NCHINI 'KINYEMELA'

Image

SAUTI SOL RELEASE “RELAX” BRAND NEW MUSIC VIDEO

Image
Multiple award-winning group Sauti Sol release the music video of RELAX, the seventh single off their new album: Live and Die in Afrika (released Nov 21st 2015). RELAX is a bona fide feel-good track and a dedication to all SautinSol fans, and music fans worldwide. The video of RELAX features behind the scenes video clips of the group’s 2015 shows, tours and events, summing up what was a successful year for Sauti Sol. From Rwanda to USA, they include Sauti Sol’s debut at Kigali Up Festival, Global Citizen Festival, Sauti Sol Road to BET American Tour that also saw them attend BET Awards as nominees Best International Act – Africa, among others. RELAX has been written and produced by Sauti Sol. Executive Production: Sauti Sol Entertainment. Video produced and directed by Michael Rainin (RAINPIX). Edited by Joseph Remerowski (Pictures in a Row). Executive Production: Sauti Sol Entertainment Sauti Sol’s third album: Live and Die in Afrika was added in BBC Africa’s Top 10 tra...

TAZAMA VIDEO MPYA YA DIAMOND "UTANIPENDA"

Image

NEW VIDEO:Yamoto Band - Nisambazie Raha [Official Video]

Image

NEW VIDEO: Young Killer "Mungu Baba" Official Video Ft. Linah | Ommy Dimpoz | Roma

Image
Erick Msodoki aka Young Killer ameachia video mpya ya wimbo wa "Mungu baba" audio ya wimbo huu ilitoka mwaka 2014 ambapo alimshirikisha msanii "Maulo"aliyeishambulia chorus kwa ustadi mkubwa,katika video hii kuna baadhi ya  wasanii wameongezwa kama Linah akishambulia chorus iliyofanywa na Maulo pia yupo mkali wa Wanjera, "Ommy Dimpoz" na Roma. Video imeongozwa na Director Khalifan Khalmandro

NEW VIDEO: KUTOKA KWA JUX - NIKUITE NANI

Image

NEW VIDEO: Snoop Dogg Ft Charlie Wilson ‘Peaches N Cream’.

Image
  Snoop Dogg amefanikiwa kukamilisha video ya kwanza kutoka kwenye album yake mpya inayotayarishwa na producer Pharrell Williams. Wimbo unaitwa “Peaches N Cream” na ameshirikishwa mkongwe wa rnb Charlie Wilson na video imetayarishwa na Aramis Israel na Hannah Lux Davis. Album mpya ya Snoop inaitwa BUSH na inatoka May 12.   

OMMY DIMPOZ:DIAMOND SI YUPO NA ZARI AU? SIDHANI KAMA AMEMIND MIMI KUFANYA KAZI NA WEMA

Image
Mwanamziki Ommy Dimpoz ameyasema hayo jana kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM alipokuwa anautambulisha wimbo wake wa Wanjera ambao mrembo Wema Sepetu amecheza kama Wanjera kwenye video wa wimbo huo na kushiriki kupiga picha za kuutangaza wimbo huo. Ommy alisema haoni kama kuna tatizo lolote kati yake na swahiba wake huyo licha ya Diamond kutoandika chochote kuhusiana na wimbo huo kama ambavyo amekuwa akifanya kwa wasanii wengine.  “Labda hajaposti yupo busy na simu yake, hata mimi kuna vitu vingine huwaga anaposti na mimi vinanipita pia,” amesema Ommy. “Kwahiyo huwezi ukasema hajaposti kwa sababu fulani na fulani. Diamond si yuko na Zari au? Kwahiyo hawezi tena akawa anafocus kwa mambo ya Wema. Wala hawezi kunimind mimi kwa sababu kamuona Wema, haiwezekani. Halafu kumbukeni shemeji yetu Zari ni mjamzito msitake kuwatia watu pressure.”

NEW VIDEO: TIZAMA VIDEO MPYA YA OMMY DIMPOZ "WANJERA" VIDEO MODEL NI WEMA SEPETU

Image
Video mpya ya Ommy Dimpoz  “Wanjera” imetayarishwa ni kuongozwa na Godfather Production.Video imefanyika Johannesburg, South Africa na video model ni  Tanzanian Superstar Wema Sepetu na mshindi wa Big Brother Hotshot  Idris Sultan. Audio imetayarishwa na Manwater (Combination Sound).

NEW VIDEO Amani - Kizungu Zungu (Official Video)

Image
Moja kati ya mastar wakike wanaofanya vizuri Kenya,  Amani   jana ameachia single ya video yake mpya inayoitwa  ‘Kizungu Zungu’ . Video imeongozwa na Director anayeitwa  Sync Tumia time yako kutazama video.

NEW VIDEO: TANZANITE - WIMBO WA LULU

Image
brand new music video "Wimbo Wa Lulu" by Tanzanian artist "Tanzanite". SUBSCRIBE Mziiki For Best African Music  Tags :

NEW VIDEO: JUA CALI "KARIBU NAIROBI"

Image
Burudika hapa na video mpya ya Jua Cali ‘Karibu Nairobi’. Enjoy.

VANESSA MDEE & BARNABA - SIRI [OFFICIAL VIDEO]

Image

NEW VIDEO: MADEE Feat CHEGE - VUVULA

Image

VIDEO: RAIS JAKAYA KIKWETE ALIVYOMPA SOMO DIAMOND PLATNUMZ IKULU

Image

NEW VIDEO: VIDEO MPYA YA AY FT MS TRINITY AND LA'MYIA "It's Going Down"

Image
Ni ile video ambayo Ay aliahidi kuitoa mwaka huu, ilikua ni ndoto yake kuona siku moja kufanya video na magari ya kunesanesa ambayo tulizoea kuyaona kwenye video za kina Snoop Dogg. Hii video Ay kaifanya Marekani Ft. M Triniti na La’myia Go