Posts
Showing posts with the label MUSIC
NEW SONG: MIRACLE "NAELEKEA IKULU" PRODUCED BY DUKE
- Get link
- X
- Other Apps
Naomba usikilize huu wimbo kwa umakini ambao kwanzia wazo lenyewe mpaka mchanaji amesimamia kwenye mada bila kuchanganya mambo mambo yasiyokuwa ya msingi, pia nimependa mixing nzuri iliyofanyika chini ya fundi wa midundo Duke Touch, Msanii huyu ni mfano wa kuigwa kwa wasanii wengine sio kila siku tunasikia mistari kama "Mimi mkali sijui natisha kama Zombi,hapana mistari hii namnukuu "Nash MC"
NEW AUDIO: SIKILIZA NA DOWNLOAD NYIMBO MPYA YA DNOB "NJAA YA MKWANJA"
- Get link
- X
- Other Apps
“Subira”-Shaa [SingLe] Listen And Download
- Get link
- X
- Other Apps
Shaa- Authentic Music Shaa has done it again! That is what I thought after listening to her new single Subira [which I am about to present to you below]. Before mumbling further let me say this; I like what Shaa is doing to Tanzanian music. From her single Sugua Gaga and now Subira [Patience], Shaa is reminding everyone about authentic music from Tanzania. Whoever thinks we can’t have our own identity as far as music/genre are concerned is making cheap jabs or is just uninterested and brainwashed. Subira [Patience] is about real life…marriage to be particular. Shaa uses the name/word Subira creatively. Subira can be a noun or verb. She addresses the bride. Go out there and be careful. The world is rough. Do more and speak less. Hold it tight. Don’t let him(or her) easily skid away. Animals [people] are pretty darned smart. I kinda smiled at the part ” Akienda bafuni, akienda kazini akuage”. You could be telling a joke to your friend and hear someone else laug...
TANGAZO KUTOKA BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
- Get link
- X
- Other Apps
Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani la Tanzania anapenda kuwatangazia watu wote wanaotaka kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) mwezi, Mei 2014 kama Watahiniwa wa Kujitegemea kwamba kipindi cha usajili kitaanza rasmi tarehe 1 Julai, 2013 kwa ada ya Shilingi 35,000/=. Kipindi cha malipo bila adhabu kitaishia tarehe 31 Agosti, 2013. Kuanzia tarehe 1 Septemba, 2013 hadi tarehe 30 Septemba, 2013 waombaji watajisajili kwa ada ya Shilingi 50,000/- (ada pamoja na faini). Waombaji wote watajisajili kwa njia ya mtandao kupitia tovuti: www.necta.go.tz. ya Baraza la Mitihani la Tanzania. Kabla ya kujisajili kwenye mtandao waombaji watapaswa kwenda kwenye vituo vya mitihani kuchukua namba rejea (reference number) watakazotumia kujisajili. Hakuna mtahiniwa atakayeweza kujisajili bila kupata namba rejea kutoka katika kituo anachokusudia kufanyia Mtihani. Wakuu wote wa vituo nchini watakabidhiwa namba reje...