Posts

Showing posts from May, 2014

KUMBUKUMBU: MIAKA 18 YA AJALI YA MELI YA MV BUKOBA ILIYOZAMA TAREHE 21 MAY 1996

Image
Leo imetimia mwaka wa 18 tangu ajali ya MV. Bukoba kutokea tarehe 21 mei,1996 katika ziwa Victoria,mkoani Mwanza, meli ya Mv Bukoba ilipata ajali na zaidi ya watu 800 kupoteza maisha yao.Meli ilizama kilomita 30 kukaribia kutua nanga kwenye bandari ya mwanza ikitokea Bukoba. Meli ikuwa na uwezo wa kubeba idadi ya watu 430 Kwenye first and second class orodha ya abiria ilikuwa 443 na kwenye third class hakukuwepo rekodi yoyote .Takribani watu 1000 walifariki kwenye ajali hiyo Leo kutafanyika ibada katika makaburi ya Igoma walipozikwa baadhi ya marehemu katika ajali hiyo kubwa ya majini kuwahi kutokea hapa tanzania, ibada itaanza mida ya saa 6 mchana ungana na Flaviana Matata katika ibada hiyo kwani yeye pia alimpoteza mama yake mzazi.      ILIVYO ZAMA MWAKA 1996

VICHWA VYA MAGAZETI LEO JUMATANO HIVI HAPA.

Image

SONG:NIKKI MBISHI -NATOKA TANZANIA.

MAGAZETI YA LEO JUMANNE

Image
(FS)