Posts
Showing posts with the label VITIMBWI
AIBU ILIYOJE: MKE AVAA KININJA, AMFUATILIA MUMEWE, AMFUMANIA
- Get link
- X
- Other Apps
WAANDISHI WETU, MWANZA Aibu iliyoje! Tukio la aina yake limetokea maeneo ya Diluxe jijini hapa baada ya mama mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Faudhia almaarufu mama Baraka kumfumania mumewe akisaliti ndoa yao mbichi. Faudhia akihamaki baada ya kufumaniwa. Kwa mujibu wa mama Baraka, amekuwa akimfuatilia mumewe kwa muda mrefu baada ya kutonywa na wambeya kuwa baba mtoto wake huyo amekuwa akichepuka na ‘kichenchede’ (mrembo) wa mjini. Siku ya tukio, hivi karibuni ilidaiwa kwamba mume huyo alirudi nyumbani mapema, akapumzika kidogo, majira ya saa sita mchana aliamka, akaoga na kupewa chakula kama kawaida kisha akamuaga mkewe kuwa anaenda ofisini kuna dharura imetokea ghafla. ...Akiwa anavaa. Kwa mujibu wa mke huyo, jamaa alipotoka tu naye akachukua pikipiki ambayo ilikuwa tayari imeandaliwa na kuanza kumfuatilia kwa nyuma kila alipokuwa anaenda ambapo alienda katika baa mbalimbali za Villa Park Resort, Kibo na nyingine. Ilisemekana kwamba, alipofika Diluxe Night Club, al...
Sheria Ngowi dresses Diamond Platinumz for BET Awards 2014
- Get link
- X
- Other Apps
At the BET Awards 2014,Tanzania's Diamond looked amazing in a Sheria Ngowi suit... A blue pair of well-fitting trousers and that Sheria Ngowi signature blazer with pocket detailings... Full kujiachia... Better view.... i looove the mix! I can just imagine what Nelly was saying here... "here comes the star!" Looking sharp,Diamond! Kudos to Sheria for the ensemble...
TANGAZO KUTOKA BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
- Get link
- X
- Other Apps
Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani la Tanzania anapenda kuwatangazia watu wote wanaotaka kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) mwezi, Mei 2014 kama Watahiniwa wa Kujitegemea kwamba kipindi cha usajili kitaanza rasmi tarehe 1 Julai, 2013 kwa ada ya Shilingi 35,000/=. Kipindi cha malipo bila adhabu kitaishia tarehe 31 Agosti, 2013. Kuanzia tarehe 1 Septemba, 2013 hadi tarehe 30 Septemba, 2013 waombaji watajisajili kwa ada ya Shilingi 50,000/- (ada pamoja na faini). Waombaji wote watajisajili kwa njia ya mtandao kupitia tovuti: www.necta.go.tz. ya Baraza la Mitihani la Tanzania. Kabla ya kujisajili kwenye mtandao waombaji watapaswa kwenda kwenye vituo vya mitihani kuchukua namba rejea (reference number) watakazotumia kujisajili. Hakuna mtahiniwa atakayeweza kujisajili bila kupata namba rejea kutoka katika kituo anachokusudia kufanyia Mtihani. Wakuu wote wa vituo nchini watakabidhiwa namba reje...