Posts

Showing posts from September, 2013

SEMINA YA KAMATA FURSA TWENDEZETU KWA VIJANA YAFANYIKA LEO JIJINI MWANZA

Image
    Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Mh Stephen Masele akizungumza mada iliyohusu fursa mbalimbali zinazopatikana kwenye nishati na madini ndani ya semina ya kamata fursa twendzetu,iliyofanyika mapema leo ndani ya ukumbi wa Gold Crest.    Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Mh Stephen Masele akimtambulisha mmiliki wa hotel kubwa ya kitalii hapa jijini Mwanza, Gold Crest,Bwa.Mathias Erasto,ambaye pia ni mchimbaji mdogo wa madini,aliyajipatia fursa mbalimbali na kuzitumia ipasavyo na kufikia hapo alipo kimafanikio.  Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida,Mh.Yahaya Nawanda akizungumzia mada yake iliyohusu suala la ufugaji,hasa kuku wilayani mwake,ambapo pia amewataka vijana kuitumia fursa ya ufugaji wa aina yoyote katika suala zima la kujiletea maendeleo kwa namna moja ama nyingine badala ya kusubiri Serikali iwafanyie ama iwaletee kila kitu hapo walipo. Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia,Mh Januari Makamba akizungumza kwenye mada yake iliyoh

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA USIKU WA SERENGETI FIESTA NDANI YA MUSOMA

Image
 Msanii mwingine anaefanya vyema hivi sasa katika anga ya muziki wa Bongofleva,Rich Mavoko akiwaimbisha mashabiki wake usiku huu,mbele ya wakazi wa mji wa musoma waliojitokeza kwa wingi kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013,ndani ya uwanja wa Karume mkoani Mara.  Madansa wa msanii wa muziki wa kizazi kipya,Shilole wakitumbuiza jukwaani usiku huu ndani ya Uwanja wa Karume,ndani ya mji wa Musoma mkoani Mara,ambapo tamasha la serengeti fiesta 2013 likiendelea hivi sasa.  Anajiita tajiri wa Mahaba Cassim Mganga kutoka Manzabay akiwaimbisha jukwaani wakazi wa mji wa Musoma,wakati tamasha la serengeti fiesta 2013 likiendelea hivi sasa ndani ya uwanja wa Karume.  Mashabiki wakijinafasi kwa raha zao.  Kundi la Wanaume TMK likiongozwa na Chege na Temba wakilishambulia jukwaa la serengeti fiesta usiku huu ndani ya uwanja wa Karume mjini Musoma mkoani Mara.  Mkali mwingine wa muziki wa Reggae kutoka kanda ya Ziwa,Jita Man akiwakumusha mash

[New Music] Sam wa ukweli ft Rich Mavoko & Zed Anto – Ameshaolewa

KIDOTI AWATOA NISHAI WAPIKA MAJUNGU WANAOVUMISHA ANATOKA NA LUCIANO,SOMA HAPA ALICHOKIANDIKA FACEBOOK

Jokate Urban Mwegelo Okay leo nimeamua kupitia page yangu ya Instagram ku-address the following pressing matters kwenye ulimwengu wa majungu. 1. Luciano Gadie Tsere is NOT my LOVER and noooo hatumegani kisela. Na hata kama it were true inakuhusu nini. Sioni ishu. Kwenye Sanaa kuna kitu kinaitwa kuweka uhalisia. And that's what we did na KAKA DADA. I respect Lucci. Ni kaka yangu na tunafanya kazi nyingi sana zinakuja. Kuna watu wanefungua mpaka BBM group to discuss me and Lucci and this so called affair. Jamani kuliko maneno tufanyeni Kazi kuendeleza nchi yetu 2. Sijifanyi mtakatifu. Ila najitahidi kufanya matendo yanayompendeza Mungu. Na kwasababu kama binadamu sina ukamilifu basi only God can really judge me cause ndio anajua moyo wangu kuliko binadamu yoyote yule.  Ila I'm a pretty good girl to be honest. Najaribu. Kwa nyinyi walimwengu don't be fooled by my PRETTY BABY FACE I know what I want, am fierce and I don't take trying to tarnish my image

PITIA HAPA VICHWA VYA MAGAZETI LEO SEPT, 10

Image

SUMATRA YASITISHA SAFARI ZIWA VICTORIA KWA ABIRIA WASIO NA VITAMBULISHO.

Image
SUMATRA YASITISHA SAFARI ZIWA VICTORIA KWA ABIRIA WASIO NA VITAMBULISHO. M amlaka ya Uthibiti Usafiri wa nchi kavu na Majini SUMATRA, imewataka abiria na wananchi wote wanaotumia vyombo vya usafiri wa majini kupitia Bandari zote za Ziwa Victoria , kuwa na kitambulisho kinachoonyesha taarifa zao mhimu wakati wa kukata tiketi. Akitoa taarifa hiyo hiyo hii leo Mkoani Mwanza, Mhandisi Japhet Loisimaye Ole ambae ni Afisa Mfawidhi wa SUMATRA Kanda ya Ziwa kwa niaba ya Msajili wa Meli SUMATRA, Amesema kwamba utaratibu huu unalenga kuwa na taarifa sahihi kwa kila abiria katika meli ama boti, sambamba na kuzuia abiria kusafiri kwa kutumia tiketi yenye jina la mtu mwingine. Amesema kwamba utaratibu huo kwa kanda ya ziwa utaanza kutumika rasmi kuanzia leo septemba 9, ambapo wamiliki wa Meli ama Boti watalazimika kujaza taarifa sahihi katika orodha ya wasafiri kwa mujibu wa vitambulisho vyao.  Mhandisi Ole amebainisha kwamba kupitia utaratibu huo, Maafisa wa Bandari na Mia

ANGALIA VICHWA VYA MAGAZETI LEO JUMATATU SEPTEMBER, 9

Image