Posts

Showing posts with the label GALLARY

DR DRE: KAMPUNI YA BEATS ELECTRONICS YAILALAMIKIA CHINA KUTENGENEZA HEADPHONE FEKI NA KUPATA HASARA YA MABILLIONI.

Image
Kampuni ya "Beats Electronics" ambayo inamilikia na gwiji wa muziki wa hip hop nchini Marekani Dr. Dre ameilalamikia nchi ya China kwa baadhi ya wananchi wake kutumia njia ya mtandao kuuza  bidhaa za headphone ambazo ni feki zinazotengenezwa nchini China,zenye logo ya B ambazo zinatengenezwa na kampuni hiyo ya Beats na kupata hasara ya dola za kimarekani 135 BILLION. Dr. Dre ameuambia mtandao wa tmz kuwa hatua kali zimeanza kuchukuliwa dhidi ya watu wote wale wanaojihusisha na utengenezaji na uuzaji wa bidhaa hizo fake ambazo zinawaharibia  jina na heshima ya kampuni waliyonayo katika utengenezaji na  uuzaji wa headphone zenye ubora duniani kote.

Meet Albert Manifester-New Photographer in Town

Image
Albert Manifester is the name we have talking about alot,lately. Maybe because he has been working closely with several celebs like Lulu Michael,Jux and more... He has been doing all kinds of shoots..from Fashion to individual projects to weddings... Here at M.P we recognize all kinds of legal hustles..and this one caught our attention Beautiful couple... And model portfolios je? What about that family portrait? Just to make it short...Albert Manifester is a new photographer in town Interested to work with him? I would certainly recommend his photography services... Keep at it,Albert!

New Shopping Find-Shopping Tz

Image
It has been a long time since I bought handbags...and with the crazy boutique prices in Dar es Salaam these days,I was stuck with where to start! Everyone is talking about "Original this".. "Original that"...while most of those are the same remakes...so,here I am pulling a Tyra Banks :) I decided to go Online...and who do i find? SHOPPING TZ! Yes...a Tanzanian online shop with variety of very affordable stylish handbags for almost all occasions. And the colors ..my ooh my! Location of the shop is at sinza mapambano,the second right corner before Gbp petrostation in case you want to pay a visit too With prices ranging from 70,000Tshs..and other pieces on SALE for at least 60,000Tshs...what more could a Corporate Girl need?! Well..you can just imagine the amount of shopping i did,after i found out about this hidden gem!  Well,kizuri kula na mwenzio...Get your shopping now through  www.shopping.co.tz  Direct numbers are :+255763698060 a...

Rihanna covers Harper's Bazaar Arabia,"covered"!!

Image
After so much talk about her provocative dressing and nudity, Rihanna covers the latest issue of Harper's Bazaar while covered from head to toe...  The cartier jewels that draped her,just amazing!!  This is quite an important cover for Rihanna...Harper's Bazaar Arabia is one prestigious high fashion magazine! And judging from the Dolce & Gabbana pieces styled on Riri,this was a high fashion shoot indeed! I can't help but feel like she is mocking us...lol WATCH how the shoot took place...

Lupita Nyong'o covers Vogue USA!

Image
  She is finally there! Lupita Nyong'o,the Kenyan actress has finally made it to the cover of Vogue,USA. Inside the prestigious magazine, Lupita has the following spreads... Such a goddess! This is my favorite! Big up to Lupita and all who make their dreams,valid!

WAREMBO WA CHUO KIKUU KUTOANA JASHO JUMAMOSI HII

Image
Shindano la kumsaka mrembo wa chuo kiu cha Kmpala International University 2011 litarajiwa kufanyika jumamosi hii katika ukumbi wa Savanna Lounge (quality center) uliopo barabara ya Pugu,jumla ya warembo 12 wamejitokeza kuwania taji hilo siku ya tarehe 22 octoba. Shindano litapambwa na wasanii wa kizazi kipya kipya Dully sykes,D-nob,Ngoma za asili na vijana wa kutikisika(shers),mabali ya burudani hizo kutakuwa na suprize ya majai pamoja masupastaa wa movie. Miss Kampala Internationa 2011 imeandaliwa na serikali ya wanafunzi ikishirikana na wadau maarufu wa mabo ya urembo na mitindo nchini Tanzania,tiketi za fainali hizi zinapatikana CLOUDS fM,CHUONI KWAO,JB BELMONT HOTEL,SAVANNA LOUNGE(quality center)kitchen hut (mlimani city) kwa iasi cha 10,000/= (regular) na V.I.P 30,000/= Shindano hili limedhaniwa na Savanna Lounge hotel,Belmont hotel,clouds fm,Air Uganda na uniqueentertz blogspot.

MAMIA WAJITOKEZA KATIKA MAZISHI YA HILDER .N. HOLELA

Image
JENEZA LIKIWA PEMBENI YA KABURI KABLA YA KUWEKWA NDANI MAKABURI YA KINONDONI WAOMBOLEZAJI WALIOJITOKEZA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI WAOMBOLEZAJI WALIOJITOKEZA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI MWILI WA MAREHEMU HILDER UKIWA NDANI YA KABURI Hilder N. Holela ambaye alikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Mt. Augustino akisomea Public Relations and Marketing mwaka wa pili alifariki tarehe 13 August, 2011 jijini Dar Es salaam amezikwa leo katika makaburi ya kinondoni jijini Dar Es salaam na mamia ya waombolezaji. Wanafamilia wanatoa shukurani zao kwa Madaktari wa hospitali ya Amana,Madonna kwa moyo wao waliouonyesha wakati wa kunusuru maisha ya marehemu,pia na kwa waombolezaji wote waliojitokeza katika kukamilisha safari ya Hilder hapa duniani. Mungu alitoa na Mungu ametwaa pumzika k wa Amani Hilder RIP HILDER