Posts
Showing posts with the label DOWNLOAD
New Track[rmx2] :- One Darren ft Diamond Platnamz - Ukisinzia | Download/Listen
- Get link
- X
- Other Apps
NEW SONG: MIRACLE "NAELEKEA IKULU" PRODUCED BY DUKE
- Get link
- X
- Other Apps
Naomba usikilize huu wimbo kwa umakini ambao kwanzia wazo lenyewe mpaka mchanaji amesimamia kwenye mada bila kuchanganya mambo mambo yasiyokuwa ya msingi, pia nimependa mixing nzuri iliyofanyika chini ya fundi wa midundo Duke Touch, Msanii huyu ni mfano wa kuigwa kwa wasanii wengine sio kila siku tunasikia mistari kama "Mimi mkali sijui natisha kama Zombi,hapana mistari hii namnukuu "Nash MC"
NEW AUDIO: SIKILIZA NA KUPAKUA WIMBO MPYA WA YOUNG DEE FT JUX- SIO MCHOYO
- Get link
- X
- Other Apps
NEW AUDIO:SIKILIZA NA KUDOWNLOAD NYIMBO MPYA "MICHEPUKO" YA NIKKI MBISHI.
- Get link
- X
- Other Apps
DOWNLOAD NA KUSIKILIZA SINGLE MBILI ALIZOZIACHIA ALI KIBA LEO.
- Get link
- X
- Other Apps
Baada ya wapenzi wa muziki Tanzania kusubiri kwa muda mrefu sasa wamepata nafasi ya kujiburudisha na ngoma mpya kutoka kwa Alikiba. Tarehe 25 Julai, 2014 Alikiba ameachia single mbili mpya kwa wakati mmoja ziitwazo “Mwana” na “Kimasomaso”. Mwana imetengenezwa na Manwalter kutoka studio ya combination sound na Kimasomaso imekuwa sampled kutoka kwa Marehemu Issa Matona ikiwa imetayarishwa na producer Marco Chali kutoka MJ records. Alikiba anajulikana ndani na nje ya Tanzania kwa hit zake kama Cinderella, Mapenzi yanarun dunia, Single boy, na Dushelele. Cinderela ndiyo wimbo ambao mpaka sasa umeweka rekodi ya kuuza copy nyingi katika Afrika Mashariki mwaka 2008. Mwaka 2012 Alikiba alishinda tuzo ya best Rhumba/ Zouk na wimbo wake wa “Dushelele” katika tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards. Alikiba anajulikana kwa uwezo wake mkubwa wa kuimba na utunzi wa nyimbo pamoja na kuwa mburudishaji mkali sana katika show zake za live na mpaka sasa ametemb...
AUDIO: Brand New audio Kutoka kwa : Peter Msechu Ft Amini inaitwa"Nyota"
- Get link
- X
- Other Apps
Peter Msechu amerejea tena akiwa na Amini safari hii na single mpya "Nyota" Licha ya kukaa mda mrefu bila kutoa ngoma, Peter bila ya kusita amefanya kazi hii na producer mdogo ambae ndio anachipukia Amiz, ambae yupo C9 Records. "Nilimwambia kabisa toka Fiesta nikamwambia kwamba mimi Amini ukipanda stejini naskia raha sana, kuliko sijui ninavyojiskia, kwahiyo alivyokuja nikamwambia Amini nimeshafanya ngoma nyingi sana lakini Ok zina bahatika zinafanya vizuri zingine hazifanyi vizuri mi nafikiri nikifanya na wewe kuna kitu kingine kitatokea kikubwa sana, kwahiyo imetokea bahati tukaitana tukakaa studio, hii nyimbo tumeanza kuandika na amini tumekaa chini tumechora kimoja baada ya kingine, na Amini ame play part kubwa sana kwenye hii nyimbo, na ndio maana nikasema hapana unastahili kuanza hii nyimbo"