Posts

Showing posts from January, 2012

HAPPY BIRTHDAY FRIDA

Image
Frida ni mmoja wapo wa wadau wakubwa wa blog hii,leo ni siku yake ya kuzaliwa. "Happy birthday, and may this day be a special one to always remember."

Maelezo ya Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu hoja za madaktari

Utangulizi Uongozi wa Wizara umekuwa ukifanya vikao mbalimbali na Viongozi wahusika wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) katika kutatua suala la Madaktari wanaofanya mazoezi kwa vitendo (internship) na hatimaye suala hili kumalizika. Baadaye MAT waliwasilisha Hoja nane za ziada Tarehe 21/01/2012. Wizara ilifanya mkutano na Uongozi wa Chama cha Madaktari kujadili hoja zilizowasilishwa. Wizara ilitoa maelezo kama ifuatavyo:- Madaktari kupewa nyumba za kuishi karibu na Hospitali Serikali kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na WIzara ya Fedha inarekebisha Waraka uliotolewa kwa Taasisi kuhusu ani anastahli kupewa nyumba, ili Madaktari waendelee kupatiwa nyumba bila kujali ngazi zao za mishahara. Pamoja na juhudi zinazofanywa na Mikoa na Halmashauri kuwapatia Nyumba Madaktari, Serikali imepata fedha kutoka Mfuko wa Dnia  (Global Fund) kwa ajili ya kujenga nyumba za Madaktari kwa kuanzia Wilaya 18 zilizo pembezo

HATA WEWE UNAWEZA KUSHIRIKI KWENYE HILI

Image
Taasisi ya Hassan Maajart Trust. Makusudi ya Taasisi hii ni kuhamasisha jamii kuchangia madawati na vifaa vingine katika shule zetu ili kufuta kabisa aibu ya watoto wa Kitanzania kukaa sakafuni wakiwa mashuleni. Taasisi hii pia ina duka la hisani yani 'Charity Shop' ambayo watu wanaleta nguo, viatu, vitabu, vyombo nk, vya zamani vyenye ubora na hali nzuri ambavyo hawafikiri kuvivaa tena, au kivitumia tena, na sisi tunaviuza second hand na hela zineanda kwenye mfuko wa madawati.

Miraba Minne ya Chipukizi

Image
Mwaka 2011 ulikuwa mzuri katika nyanja kadhaa za TZhiphop na miradi mingine , ingawa, kama kawaida,  changamoto za hapa na pale hazikosekani. Kwa upande wa wasanii, kwa ujumla wale chipukizi walioanza kusikika mwaka 2010 waliweza kujikita kwenye masikio na nyoyo za wengi. Mwamko wa mashabiki wanaoongezeka ni ushahidi thabiti. Kwa upande mwingine, tunapenda kuwaasa mashabiki pamoja na wasanii waendelee kujifunza kuhusu historia na misingi ya Hip Hop . Mwaka 2012 bila shaka unaonekana utakuwa mzuri zaidi. Wale waliochomoza mwaka 2010 na kufanya vizuri mwaka 2011 wanapevuka. Vivyo hivyo, wale walioanza kusikika mwaka 2011 wanaelekea kuzuri! Wasanii wanne chipukizi wanaojitegemea wameamua kuunganisha vichwa na kuunda Miraba Minne, chini ya uongozi wa mtayarishaji wa ala, Ray.  Ndani ya Miraba Minne kuna Maalim Nash (alikuwa anatumia jina ‘Nash MC’), P The MC , msanii mpya ndani ya M-Lab , Songa , na ZAiiD … Kaa tayari kupokea mixtape yao kwa mikono miwili . Tunatambul

Sasa wateja wa CRDB na Vodacom M-PESA wanaweza kuweka na kutoa pesa

Wateja wa Vodacom M-PESA wenye akaunti katika benki ya CRDB sasa wanauwezo wa kuweka na kutoa fedha kutoka katika akaunti zao kupitia simu ya mkononi ya Vodacom iliyosajiliwa na huduma ya M-PESA. Kuzinduliwa kwa huduma hiyo sasa kunawapa urahisi zaidi wateja wa Vodacom M-PESA kuweka na kuchukua fedha zao kutoka akaunti ya benki kwa urahisi na unafuu zaidi mahali popote nchini na kwa wakati wowote pasi na kulazimika kufika katika tawi la benki ya CRDB.. Huduma hii ya ushirikiano kati ya Benki ya CRDB na kampuni ya Vodacom kupitia huduma yake ya M-PESA ni ya kwanza nchini na inalenga kuwaondolea usumbufu wateja wa M-PESA wa kupanga foleni ama kutembea umbali mrefu kufuata tawi la Benki. “Tunapoitambulisha huduma hii mpya inaamaanisha kwamba tumeongeza thamani nyengine katika simu ya mkononi na huduma ya Vodacom M-PESA.Mteja wa M-PESA kuweza kutoa na kuchukua fedha kutoka akaunti zao za CRDB kupitia simu zao za mkononi ni hatua nyengine muhimu ya kujivunia kuwa mteja wa

HUYU NDIO BIBI ANAERAP NA KUIMBA

Image
Wakati nikisikiliza xxl leo huyu bibi kanivutia sana ukiangalia umri wake na nyimbo anazoimba hapo ndo utajua kuwa kama kipaji kipo basi kipo tuuuu na kamwe hakipotei picha na story hapo chini ni kutoka website ya www.millardayo.com huyu ndio bibi ambae ana rap na kuimba, maajabu yake ameyaonyesha kwenye XXL ya CLOUDS FM leo, stori kamili nitaiweka baadae kidogo hapa hapa millardayo.com na itasikika pia kwenye AMPLIFAYA. ana umri wa miaka 51, na mpaka sasa hajapata jina la kisanii la kutumia, track yake ya kwanza ameitoa leo kafanya na MH TEMBA

HAPPY BIRTHDAY RICHARD MFINANGA

Image
happy birthday my classmate Rich wish all da best in ur life and work hard so that u will reach to ur intended goals

LIGI KUU YA VODACOM KUANZA JUMAMOSI

Image
Bw.Boniface Wambura Ofisa HabariShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom kuwania ubingwa wa Tanzania Bara unaanza keshokutwa (Januari 21 mwaka huu) kwa mechi nne. Moro United itaikaribisha Yanga kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na Mtibwa Sugar itaoneshana kazi na Oljoro JKT kwenye Uwanja wa Manungu, Turiani. Nayo Toto Africans itakuwa mgeni wa Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa Mlandizi mkoani Pwani na Villa Squad itapambana na Kagera Sugar katika Uwanja wa Azam Chamazi, Dar es Salaam. Januari 22 mwaka huu JKT Ruvu na Polisi Dodoma zitapepetana Uwanja wa Azam Chamazi wakati Januari 22 mwaka huu Dar es Salaam itakuwa na mechi mbili; African Lyon na Azam (Uwanja wa Azam Chamazi) na Simba na Coastal Union (Uwanja wa Taifa). Ratiba kwa ajili ya waamuzi na makamishna kwa mechi 35 za mwanzo tayari imeshatoka. Waamuzi wa kati 16 wameteuliwa kuchezesha mechi hizo huku watatu

AJIRA MPYA YA WALIMU WA SHULE ZA SEKONDARI WENYE ELIMU YA SHAHADA MWAKA 2011/12

http://www.moe.go.tz/pdf/AJIRA%20MPYA%20YA%20WALIMU%20WA%20SEKONDARI%20-%20SHAHADA%202011-2012%20Final.pdf CLICK LINK HIYO HAPO JUU KUWEZA KUYATAZAMA.

NAIBU WAZIRI MWANRI AIKATAA NYUMBA ILIYOKARABATIWA KIFISADI ,ASEMA LUDEWA SI SHAMBA LA BIBI

Image
Ziara ya ghafla ya naibu waziri Mwanri kwenda kufichua ufisadi wa kutisha Lupanga kwa kukataa nyumba ya mganga iliyochakachuliwa ujenzi wake Hii ni nyumba mpya ambayo bado inajengwa ila inavuja mabati yamechakaa kabla ya kuanza kutumika ipo Lupanga Ludewa ,naibu waziri hapa akitamani kutoa machozi kwa wizi huu wa kutisha Hii ni nyumba mpya ambayo bado haijakamilika kujengwa ila imechoka mbaya haina tofauti na pagale Maajabu nyumba mpya ya mganga Lupanga Ludewa imechakaa kabla ya kuanza kutumika imekarabatiwa kwa Tsh,milioni 7 za serikali kupitia mradi wa Mamu Hizi ndizo bati zenyewe zikiwa zinavuja kupitia kiasi,kweli Ludewa ni shamba la bibi Kuta za nyumba hiyo kwa nje zikiwa zimepigwa lenda ila ndani lenda hakuna NAIBU waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu anayeshughulika na serikali za mitaa na tawala za mikoa (TAMISEMI) Aggrey Mwanri amevunja ratiba iliyoandaliwa na viongozi wa wilaya ya kumtembeza katika miradi isiyo na matatizo na ku

WALIMU WAFICHA WANAFUNZI KICHAKANI BAADA YA KUFUMWA NA NAIBU WAZIRI WAKITUMIKISHA WANAFUNZI

Image
Mwalimu wa shule ya msingi Luilo kata ya Lifua wilaya ya Ludewa mwalimu Mgaya akipita katika eneo ambalo wanafunzi walikuwa wakilima na kuacha majembe na kukimbia kujificha Msafara wa naibu waziri wa tamisemi Aggrey Mwanri ukipita eneo ambalo wanafunzi walikuwa wakilima Naibu waziri wa Tamisemi akiwahoji walimu na wanafunzi waliokuwa wakiwatumikisha watoto wa shule mida ya masomo leo Mwanafunzi wa shule ya Msingi Luilo Ludewa akiwa amebeba majembe baada ya naibu waziri wa Tamisemi Aggrey Mwanri kuagiza warudi madarasani leo asubuhi Wanafunzi wa shule ya Msingi Luilo Ludewa wakiwa wamejificha katika kichaka pamoja na walimu wao kumkwepa naibu waziri wa Tamisemi Aggrey Mwanri leo Wanafunzi wa shule ya msingi Luilo kata ya Lifua wilaya ya Ludewa wakilima shamba la shule mida ya masomo majira ya saa 3 asubuhi leo baada ya kufanya ziara ya ghafla eneo hilo BAADA ya naibu waziri ofisi ya waziri mkuu Tamisem

FACEBOOK SONG BY DJ CLEO

Image
dj cleo - facebook .mp3 Found at bee mp3 search engine

KWELI WANAFUNZI WANAMBINU KIBAO ZA KUEPUKA SUPPREMENTARY

Image
Basi unaambiwa usicheze na binadamu kwenye kugundua mbinu za kila aina ili asiweze kufail mtihani......sio Mtanzania lakini ona mambo anayoyafanya kwenye chumba cha mtihani......angusha comments zako mdau.

OPPORTUNITY

Ulimwengu wa Internet unabadilika kila siku....wapo wanaoneemeka na wapo mazuzu wanaoibiwa kwenye mitandao kutokana na uchanga wao kwenye mambo ya Internet. Hivi sasa kuna kitu imeanzishwa; jaribu kugonga hapa Ulimwengu wa Internet unabadilika kila siku....wapo wanaoneemeka na wapo mazuzu wanaoibiwa kwenye mitandao kutokana na uchanga wao kwenye mambo ya Internet. Hivi sasa kuna kitu imeanzishwa; jaribu kugonga hapa http://signup.wazzub.info/?lrRef=64b9e   ili upate maelezo zaidi. Kwa kifupi, huo ni mtandao sawa na Google, Yahoo, Facebook au mtandao mwingine wowote unaoufahamu! Tofauti iliyopo ni kwamba, waanzishaji wa mtandao huu wanadai kwamba kwa wale watakaojiunga nao(members), watakuwa wanalipwa malipo kutokana na matangazo yatakayopatikana kwenye mtandao huu! Wapo, wanaoamini kwamba jambo hilo ni la kweli (kwamba members watalipwa) na wapo ambao hawaamini kabisa! Binafsi, ninaamini kwamba, ktk dunia hii lolote linawezekana! Unachotakiwa kufanya ni umakini wako tu

Mvua inanyesha, wao wapo tu wamsikiliza Dkt. Slaa

Image
  Ama kwa hakika siasa ni zaidi ya itikadi na ufuasi, kwa wengine ni sawa na dini kabisa. Kweli siasa sasa imewakolea baadhi ya Watanzania kiasi kwamba sasa wanataka kusikia kwa masikio yao wenyewe si kuambiwa, na kushuhudia kwa macho yao wenyewe na siyo kuhadithiwa liwake jua, inye mvua, wamedhamiria! Sasa jama isiwe sababu, kila chama kitake kwenda kuhutubia mvua itakaponyesha, maana watu kwa sayansi iliyozidi maarifa hawakawii kuitisha mvua ili mkutano wao nao uwe na picha zenye matone matone ya mvua, LOL, taratibu jama. Picha zinazoonekana hapo zimetoka kwenye blogu ya  Mbeya Yetu .

Anatafutwa kwa kutokomea na fedha za michango ya harusi

Maisha magumu, ukapa mifukoni umekolea kweli kweli kwa wananchi, hadi kulazimika kuiba michango ya harusi? Eh! Jeshi la Polisi Mkoani Singida linamtafuta mhasibu wa kitengo cha mishahara wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Imani Abduli, anayetuhumiwa kutoweka na sh milioni sita zilizochangwa kwa kwa ajili ya harusi ya mmoja wa askari wake. Habari zilizopatikana na kuthibitishwa na baadhi ya watumishi wa ofisi ya mkurugenzi mtendaji wa wilaya hiyo zinasema kwamba alitoweka na kiasi hicho cha fedha siku mbili baada ya kikao cha mwisho cha maandalizi ya harusi hiyo kilichofanyika siku mbili kabla ya harusi.

Somo toka RITA: Elimu juu ya Taratibu za kuandika wosia

TARATIBU ZA KUANDIKA WOSIA Taratibu za kuandika wosia zinatofautiana kulingana na sheria ya mirathi inayotumika. 1. WOSIA WA MAANDISHI Wosia huu unashuhudiwa na watu wawili pale ambapo mtoa wosia anajua kusoma au kuandika. Shuhuda mmoja lazima awe ndugu wa karibu wa mtoa wosia na mwingine ambaye sio ndugu wa karibu.Wosia na unatakiwa uwe na tarehe, uandikwe kwa karamu ya wino au upigwe chapa na uwe na saini ya mtoa wosia na saini za mashuhuda ambapo wote wanatakiwa kutia saini zao kwa wakati mmoja. Mtoa wosia asiye jua kusoma ua kuandika awe na mashuhuda wa nne wanao jua kusoma na kuandika,muhusia huyo aweke alama ya kidole gumba cha mkono wake wa kulia,mashuhuda hao wote washuhudie na waweke saini zao kwenye Wosia kwa wakati mmoja. 2. WOSIA WA MDOMO/MATAMSHI Wosia huu unashuhudiwa na mashuhuda wasiopungua wa nne wawili kati yao ndugu wa mtoa wosia na wawili waliobaki wasio ndugu wa mtoa wosia.Wosia huu utolewa na mtu asiye jua kusoma na kuandika. TARATIBU ZA KUAN

Serikali yarejesha mtihani wa Kitaifa Kidato cha Pili kuanzia mwaka huu

Image
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Phillipo Mulugo (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam Baada ya kuifuta kwa miaka kadhaa, Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Mafunzo na Ufundi imetangaza kuirejesha tena hadhi ya mtihani wa Kitaifa kwa kidato cha pili kwa shule zote za Sekondari za binafsi na serikali. Mitihani hiyo inaanza kufanyika rasmi mwaka huu wa 2012 lengo likiwa ni kuthaminisha kiwango cha elimu kwa wanafunzi na utoaji wa elimu kwa shule husika. Mwanafunzi atakayepata wastani wa asilimia 30 au chini ya hapo, hataruhusiwa kuendelea na masomo ya kidato cha tatu lakini ataruhusiwa kukariir darasa kwa mwaka mmoja tu. Ikiwa mwanafunzi huyo atafeli kwa kushindwa kufikia wastani uliotajwa hapo awali, mwanafunzi huyo ataeondolewa kabisa katika mfumo rasmi wa elimu. Naibu Waziri wa Elimu, Philipo Mulugo amesema, "...mtihani huu ni tathmini ya kati, inayopima kiwango cha maarifa na ujuzi alioupata mwanafunz

MAKALA YA WILLY EDWARD NA KUHAMA KWA MWANAMUZIKI CHARLES BABA KUTOKA AFRICAN STARSBENDI YA

Image
  NAMFAHAMU vyema na nimekuwa nikifuatilia nyendo zake kwa karibu mwanamuziki nguli wa bendi ya African Stars 'Twanga Pepeta', Charles Gabriel Cyprian 'Chaz Baba' tangu alipotua bendi hiyo akitokea Mchinga Sound. Wakati huo Mchinga Sound ilikuwa ikimilikiwa na aliyepata kuwa Naibu Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo na Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Jimbo la Mchinga, Mudhihir Mudhihir. Uhamisho wa Chaz Baba kutoka Mchinga Sounda kwenda Twanga Pepeta ulizua tafrani kubwa kati ya Mudhihir na Mkurugenzi wa Kampuni ya African Stars Entertainment Tanzania (ASET), Asha Baraka, hadi kufikia hatua ya kurushiana makonde Leaders Club. Tuyaache hayo! Chaz Baba ambaye ni mwimbaji, mtunzi na rapa, alizaliwa mwaka 1981 jijini Dar es Salaam. Alipata elimu ya msingi na sekondari lakini aliishia kidato cha pili mwaka 2004. Shughuli za muziki alianza tangu akiwa masomo

SHANNON DE LIMA MWANAMITINDO ALIEFUTA MACHOZI YA MARC ANTONY

Image
Mwanamitindo Shannon de Lima toka Venezuela ameziba pengo la J-LO kwa Marc Anthony na sasa imekuwa gumzo katika mitandao na majarida ya watu maarufu nchi za magharibi kuhusu uhusiano huo ambapo Marc amelipa kisasi cha kukimbiwa na mkewe wa ndoa ambapo kwa sasa anamdate dancer wake "Smart"

SEHEMU YA UTAJIRI WA P DIDDY!!

Image
P diddy wa kwanza kulia, akiwa na mtoto wake wa kwanza, aliyevaa koti jeupe, Diddy anazaidi ya watoto watatu aliozaa na wanawake tofauti, na amesema hajui lini ataoa kwa sababu hajapata mwanamke wa kusema ni wife material, kwa sasa mshkaji ana umri wa miaka 42. moja kati ya majumba ya kifahari yanayomilikiwa na P DIDDY. kwa ndani!

HAPPY BIRTHDAY HOMMY

Image
Happy birthday Hommy Rodrick Komanga ( Qizzle Robinson ) all the best in your life bro!

HAPPY BIRTHDAY MARYAM

Image
Happy birthday my classmate Maryam Kassim wish all da best in your life,work hard to achieve your goals

DR SLAA: vichwa vyetu vina TATIZO

Image
  Dr Wilbroad Slaa   Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) DR Wilbrod Slaa, ameitaka serikali kuwaeleza wananchi ukweli kuhusu hali mbaya ya kifedha ambayo inalikabili taifa hivi sasa kwa kupungua kwa mapato ya ndani na ya nje, ikilinganishwa na bajeti iliyopitishwa kufafanua mkakati wa kuongeza uzalishaji na kupunguza matumizi ya serikali.   Kwenye sentensi nyingine, Dr slaa ameitaka CCM, serikali na vyombo vya dola kubadilika 2012 ili kuepusha nchi kuingia katika malumbano na migogoro ya kijamii, ambapo ishu nyingine aliyoizungumzia baada ya kukutana na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, ni kuitaka serikali kushughulikia chanzo cha matatizo ya wananchi, na sio kushughulikia matawi ya matatizo hayo.  

Jason Derulo Cancels Tour Due to Neck Injury

Image
Coming as assuredly disappointing news to his many fans, Jason Derulo suffered an injury to his neck on Tuesday (January 3) which has forced him to cancel all touring and promotional activities. According to an official press release, the 22-year-old Miami native hurt himself while training for his upcoming World Tour in support of his current album Future History, which was scheduled to commence in Glasgow on February 23rd. The statement adds, "While executing an acrobatic move, Derulo landed directly on his head, and suffered an acute fracture to his vertebra. After being rushed to Memorial West Hospital in Miami’s Pembroke Pines, FL, he was told by doctors that the accident could have left him paralyzed. Derulo has been released from the hospital but must wear a neck brace for the next few months. Anyone holding tickets for upcoming shows will be refunded at point of purchase." Apologizing for the setback, Derulo told, “To all

RAMA DEE ATOA ALBUM BURE KWA MASHABIKI WAKE

Image
KAMA KWELI UNAPENDA R&B YA UKWELI TOKA BONGO YENYE LEVEL ZA KIDUNIA BASI MSHUKURU Rama Dee KWA KUKUPA HII ALBUM YAKE BURE KUPITIA SWAHILI ORIGINAL WEBSITE ,KIUKWELI JAMAA ANASAUTI YA AJABU SANA !asante kinega Rama Dee download hapa  www.swahilioriginaltz.com

happy King Zilla FromSalasala

Image

HAPPY BIRTHDAY......FRANCY MOSES

Image
Happy birthday bro Moses...nakutakia maisha marefu na yenye baraka tele kaka!

LeBron James Engaged To Longtime Girlfriend Savannah Brinson

Image
The new year is already off to a hot start for Miami Heat forward LeBron James, who rang in 2012 by proposing to longtime girlfriend Savannah Brinson at his 27th birthday party Saturday night in Miami. Brinson and James are high-school sweethearts, dating back to James’ days as a standout at St. Vincent-St. Mary High School in Akron, Ohio. Brinson is the mother of LeBron’s two kids, LeBron, Jr., 7, and Bryce, 4. LeBron turned 27 on Friday, and in addition to the engagement, Saturday night’s bash also featured the kind of extravagant birthday cake that you’d expect at a party thrown by King James, a towering rum cake adorned with edible 18-carat lions and Swarovski crystals. In photos from the event, LeBron can be seen wearing a black tuxedo with a bowtie and black glasses, and Brinson is wearing a black dress. Shortly after 1 a.m. ET, Heat owner Micky Arison sent a tweet congratulating his star player on the engagement, writing, “Congrats to Lebron. @KingJames a

HAPPY NEW YEAR 2012

Blog hii inawatakia mafanikio mema katika mipangilio yenu ya kimaisha na twendeleze kupeana support na mawazo pia ya kujenga katika blog hii.....pia tuzidishe amani na upendo miongoni mwetu na pia kwa nchi yetu.         HERI YA MWAKA MPYA 2012