Posts

Showing posts from February, 2016

23RD ANNUAL WORLD TRAVEL AWARDS NOMINATES TANZANIA TOURISM INDUSTRY MEMBERS AND ATTRACTIONS

Image
Tanzania has registered a total of 24 entries which have been nominated for 23rd Annual World Travel Awards (WTA) in an event set to take place at  Diamonds La Gemma dell'Est in Zanzibar, Tanzaniaon Saturday, April 9th, 2016; where winners in different categories will be announced in the dazzling red-carpet ceremony that will welcome hospitality leaders and luminaries from across the regions. Among the entries from Tanzania is the Tanzania Tourist Board (TTB) which is competing under the Destination categoryof Africa’s leading Tourist Board 2016 against with  Egyptian Tourist Authority , Gambia Tourism Board ,  Ghana Tourism Authority ,  Kenya Tourism Board  and Moroccan National Tourism Organization . Others are  Namibia Tourism Board ,  Nigerian Tourism Development Corporation  and  Zanzibar Commission for Tourism Entries from Tanzania and their categories in bracket are Julius Nyerere International Airport (Air category - Africa’s Leading Airport 2016)

Wanne wasimamishwa; Mkurugenzi apewa saa 48 na NW TAMISEMI kueleza ziliko milioni 180/=

SELEMAN Jafo, Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, amebaini upotevu wa Sh 180 milioni katika halmashauri ya wikaya ya Kondoa mkoani Dodoma. Kutokana na kubainika kwa upotevu wa fedha hizo Jafo ametoa saa 48 kwa Hussein Issa ambaye ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, kuhakikisha anapeleka maelezo ya kina katika Ofisi ya TAMISEMI juu ya kuibiwa kwa fedha hizo ambazo ni za walipakodi watanzania. Agizo hilo la Jafo lilitokana ziara ya kikazi iliyofanywa na naibu waziri huyo sambamba na kufanyika kwa kikao cha ndani katika Halmashauri hiyo. Amesema, Serikali ya Awamu ya Tano haitavumilia kiongozi yoyote ambaye atafanya ubadhilifu kwa fedha ya Umma au jambo lolote ambalo linaonekana kuwepo na alufu ya ufisadi. Amesema nchi imekuwa ikiendeshwa kimazoea na watu kujilimbikizia mali bila kuwa na hofu ya kuhojiwa jambo ambalo liliwafanya watumishi wa Umma kuwa na kiburi na kufanya kile wanachofikiria. “Nchi imekuwa ikiendeshwa kimazoea sana watu wanakula hela bila utarat

Congratulatory note to President Museveni from President Magufuli

Image
The President of the United Republic of Tanzania, H.E Dr. John Pombe Joseph Magufuli has sent congratulatory message to the President of the Republic of Uganda, H.E Yoweri Kaguta Museveni following his re-election as the President at the election held on February   18 th  2016. The message reads as follows: H.E. Yoweri Kaguta Museveni, President-Elect of the Republic of Uganda, KAMPALA. Your Excellency and Dear Brother, It gives me great pleasure, on behalf of the Government and people of the United Republic of Tanzania and indeed on my own behalf, to extend to Your Excellency our heartfelt congratulations on your re-election as the President of the Republic of Uganda. Your re-election at the helm of your country is a true reflection of the confidence that the people of Uganda have in you as well as a testimony of their trust in your exemplary leadership.  I also take this opportunity to congratulate your party, National Resistance Movement for its outstanding victory in the Ge

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI,FEB 25

Image

DONALD TRUMP ASHINDA NEVADA

Image
Mgombea wa urais wa Chama cha Republican, Donald Trump ameshinda katika Jimbo la Nevada nchini Marekani, na kuzidi kuimarisha uongozi wake katika mchujo wa kuwania tiketi ya chama hicho. Tajiri huyo sasa ameshinda mara tatu, kufuatia ushindi wake katika Jimbo la New Hampshire na Carolina Kusini. Seneta Marco Rubio na Ted Cruz ambao wamekuwa wakishambuliana wiki hii wanapigania nafasi ya pili. Maofisa wa chama hicho wamesema wamekuwa wakichunguza ripoti za watu kupiga kura mara mbili huku eneo moja likidaiwa kuwa na vifaa vichache vya kupigia kura. Baadhi ya watu waliojitolea pia walidaiwa kuvaa nguo zenye picha za bwana Trump, lakini maofisa wamesema kuwa hatua hiyo siyo kinyume na sheria. BBC

BAN KI MOON: NKURUNZIZA AMEKUBALI KUFANYA MAZUNGUMZO NA UPINZANI

Image
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amesema Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza amekubali kufanya mazungumzo na upande wa upinzani kuumaliza mzozo wa kisiasa nchini humo. Ban ambaye anafanya ziara yake ya kwanza Burundi tangu mzozo kuzuka nchini humo mnamo mwezi Aprili mwaka jana, aliwasili jana alasiri na leo amefanya mazungumzo na Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza mjini Bujumbura. Mkutano huo unakuja baada ya Katibu huyo wa Umoja wa Mataifa kukutana na viongozi wa vyama vya kisiasa na wa asasi za kiraia katika juhudi za kuutafutia ufumbuzi mzozo wa Burundi ambao umedumu kwa miezi kumi. Afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa amesema ziara ya Ban ni muhumu sana kwani wanatumai atamshinikiza Rais Nkurunziza hatimaye kukubali kufanya mazungumzo ya kina na yasiyo na masharti na wapinzani wake. Ban Kuzuru Congo na Sudan Kusini Baada ya mazungumzo hayo na Rais Nkurunziza, Ban ataizuru Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo na pia Sudan Kusini ambako kuna vita vya wenyewe kwa w

MAGAZETI YA LEO JUMATANO,FEBRUARY 24

Image