Posts

Showing posts from March, 2011

MAFISADI MPOOOOOO INAWAHUSU HII

Image
Pichani ni hekalu linalomilikiwa na Dikteta Muamar Gaddafi.Jumba hilo la kifahari (thamani yake ni takriban shilingi bilioni 27)lipo jijini London lakini kwa sasa limepata "wamiliki" wapya...watu wasio na makazi maalumu (squatters) wameamua kuchukua sheria mkononi na kuhamia hapo.Nani asiyetaka kuishi kwenye hekalu?Na hasa pale mmiliki wa hekalu hilo maji hana hakika kama kesho atakuwa madarakani!!! Je mafisadi wanapoona picha kama hii viroho haviwadundi japo kidogo?Good news is,hata wasipokumbwa na kimbembe kama hiki cha Gaddafi,siku moja wataitwa mbele ya haki na Mwenyezi Mungu...na hayo mabilioni wanayotudhulumu,kutunyang'anya,kutuibia,kutupora,nk WATAYAACHA HAPA HAPA DUNIANI. SOURCE NI www.chahali.com

UMEIONA HIYO?

Image
gari aina ya Toyota Dyna iliyotengenezwa kwa mfumo wa ghorofa ilikatiza maeneo ya Ubungo. picha ni kwa hisani ya Othman michuzi http://othmanmichuzi.blogspot.com/

HAPPY BIRTHDAY JOKATE MWEGELO

Image

SAMAHANI SANA WAPENZI WA BLOG HII

Kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika nimekuwa nikishinda kupublish habari kutokana nakuwa na majukumu mengine ya shule ambayo yamekuwa yamechukua nafasi kubwa zaidi kwa sasa,lakini bado tuko pamoja pindi nitakapokuwa napata nafasi basi nitakuwa najitahidi kuja na kuwapa taarifa za kutosha