Posts

Showing posts from February, 2012

WALIOCHUKUA FOMU KUSHIRIKI BIG BROTHER NI ZAIDI YA WATANZANIA 500

Image
Muda wa kuchukua na kurudisha fomu tayari umekwisha feb 27, na idadi ya watanzania waliorudisha fomu mpaka sasa imetajwa kuwa ni 100 kwa Dar es salaam pekee. Barbara Kambogi afisa uhusiano wa multichoice Tanzania amesema Kama bado hujajaza fomu na unataka kushiriki, usipate tabu siku za usaili unaweza kwenda hata kama hujajaza fomu na utaingia kwenye usaili kama kawaida, kama walivyoingia waliojaza fomu. Shindano la big brother afrika mwaka huu linaanza may 6 ambapo ni lazima watu waende wawili wawili, unaweza ukaenda na mama yako, mpenzi wako, mume wako, mke wako, binamu, rafiki au yoyote mwingine. Swali moja ambalo nilikua na kiu nalo, na nimepata jibu lake ni kuhusu watu waliorudisha fomu wamejaza kina nani watakaokwenda nao? Watu wengi wamechagua kwenda na rafiki zao tu, wengine magirlfriends zao, wanaofata ni boyfriends, wengine wamechagua ndugu zao kama binamu ila wazazi kama mama sijaambiwa kabisaaa. Kuna Dola laki tatu, jiulize ukishinda hizo pesa utafanya

SOGGY DOGGY BIRTHDAY PARTY @New Maisha Club 11 March

Image

Mr.Blue kuitwa baba Hivi karibuniiiiiiiiii..............

Image
Ni Baada ya zile story zilizovuma na hatimae Byser mwenyewe kukubali kua anategemea kupata mtoto na mpenzi wake wa zamani sanaaa ambae anajulikana kama Wahda Mohamed....Sasa Nyota njema imeshaanza kuonekana ambapo mwanadada huyo tayari ameshaanza kuvaa nguo kubwaaaaaa kama unavyoona katika picha...Inavyosemekana muda si mrefu Blu a.k.a Byser ataanza kuitwa baba story na picha ni kutoka teentz

Tamko la Peen Lawyer kutokukubaliana na suluhu ya "Sugu" na Ruge

Image
                                      SIJAKUBALIANA NA MAPATANO YA SUGU NA RUGE/NA KAMA KWELI HIZI NI HARAKATI BASI KINEGA BADO NTAZIENDELEZA. Unajua nini..!   iam swahili original,,,na ntaendelea kuwa mimi kama awali…!kazi za kufikisha ujumbe wa watu  kupitia internet haswa wale ambao wananyimwa sehemu ya kusikilizwa kwenye jamii..!online ndio maisha yangu..! so chocchote kilichotokea ilikuwa ni part ya maisha yangu na kazi ambayo nimejitolea kuifanya,,,nimekaa na sugu jana na alinielezea yote jinsi yalivyomtokea na kumbana mpaka akaamua kuamua aliyoamua,,,,nimpongeze kwa kile alichoamua ,,,,na pili naomba niiweke wazi kuwa misimamo yangu katika unyonyaji unaofanyaka katika tasnia ya muziki sidhani kama ndio kweli mwisho umefika,,kwahiyo siamini swala la sugu kushikana mkono na ruge kwani bado sijaona mabadiliko ya ruge na clouds nzima…! tulikuwa tunapigana na unyonyaji uliyokuwa unafanyika kwenye tansia ya muziki huu wa ki

NEW OFFICIAL VIDEO OF JA RULE

Image

AY AAMPLIFY KUHUSU KOLABO ZA TYGA WA YOUNG MONEY & YOUNG JOC!

Image
Tyga & Ay Siku nne baada ya kuthibitisha kupiga kolabo na wakali kutoka Jamaica Tanto Metro na Devonte, Ambewe Yessaya AY amethibitisha kwamba kolabo aliyoipiga mwanzo na Young Joc wa Bad Boy imemalizika, na kilichobaki ni Video tu. Amesema ” Audio yote iko sawa, yeye ndio alianza kuirekodi kabla yangu mimi, vilevile Audio nyingine ambayo inarekodiwa sasa hivi ni ya TYGA ya Young Money ndio kolabo ambayo nina hamu nayo sana, ilikua irekodiwe mwezi huu wa february lakini imesogezwa mbele na sasa itafanyika kabla ya june mwaka huu, nikitulia naweza kuianza may na kila kitu kiko kwenye mstari” story na picha  ni kwa hisani ya http://millardayo.com

Campus Night at Saint Augustine University on 24-02-2012

Image

CHRISS BROWN AWATUSI WANAO MBEZA

Image
Kutokana na ushindi wa Tuzo ya Grammy aliyoipata wiki iliyopita jina la Chriss Brown limekuwa likipamba vyombo mbalimbali vya habari lakini watu wengi wamkuwa wakimbeza na kudai kwamba hakustahili kupata tuzo hiyo. Hata mastaa Miranda Lambert na Jack Ousbourne waliandika katika mtandao wa twitter kuelezea mshangao wao juu ya ushindi wa kijana huyo. Inadaiwa siyo kwamba hajui kuimba,bali ni kutokana na tukio alilofanya miaka miwili iliyopita la kumpiga mpenzi wake wa zamani,Rihana wakati wa Tuzo hizo zikiendelea kutolewa. Lakini Chriss Brown amewatolea maneno makali wote wanaopinga ushindi wake, huku akijitetea na kusema kuwa kila mtu anastahili kupewa nafasi ya pili pale anapokosea.

Picha: Maziko ya Whitney Houston

Image
Gari iliyobeba maiti ikielekea kanisani Waombolezaji wakifika kanisani Kitabu cha maombolezo kikiwa kinajaa saini za waombolezaji Jeneza ikitolewa kanisani na kupelekwa kwenye sehemu ya kuzikia Ray J (aliyezungushiwa duara jekundu) akiligusa jeneza la aliyekuwa mpenzi wake Whitney Houston Ulinzi ulikuwepo wa kutosha Bobby Brown (mwenye miwani) akihudhuria mazikoni, lakini alizuiliwa kuingiaa na wageni wake ambao walikuwa tisa. Yeye alipewa mualiko wa mpaka wageni wawili tu. Bobby Brown akiondoka msibani hapo baada ya kukataliwa kuingia kanisani na wageni wake wote aliokwenda nao Kevin Costner akitoa nasaha zake msibani hapo Steve Wonder akiimba msibani hapo Tyler Perry nae alikuwa na machache ya kusema Alicia Keys akiimba Wana kwaya wakiimba msibani hapo katika kanisa ambalo ndilo Whitney alipoanzia kuimba

WALIMU WAPYA WAANDAMANA RORYA

ZAIDI ya walimu wapya   40 wameandana na kulala katika ofisi za Halmashauri ya Wilaya Rorya zilizoko Ingiri juu kushinikiza kulipwa pesa yote ya kujikimu ya siku saba. Hali hiyo imekuja baada ya walimu hao kubaini kuwa katika Wilaya zingine wenzao walilipwa kiasi tofauti na wao. Wakizungumza na waandishi wa habari mapema asubuhi jana walimu hao walieleza kuwa kulipwa pesa ya siku nne kunawafanya washindwe kuandaa maisha yao mapya vizuri na pesa hiyo haitatoshi kulingana na mazingira yalivyo Wilayani humo. “Tuliamua kutembea kwa miguu na kuja kulala hapa ili uongozi uone kuwa hatukubaliani ha kiasi hicho cha pesa ya kujikimu wanachokitoa kwetu” alisema mmjoja wa walimu hao ambaye hakutaka jina lake kutajwa gazetini. Walisema kuwa kati ya walimu 160 walioajiriwa katika Halimashauri hiyo wakiwemo walimu wachache wa shule za sekondari, baadhi yao walipokea kiasi cha shilingi 140,000 ambacho ni cha siku nne na waliobaki walikataa wakidai wa

Hiki ni kizazi cha TEKNOHAMA

Image
 

SSPRA WAFANYA ZIARA KATIKA KAMPUNI YA NYANZA BOTTLING

Image
Wanafunzi wa chuo cha mtakatifu Augustino (Mwanza )wanaosoma shahada ya Uhusiano wa Umma na Masoko ,leo wamefanya ziara ya mafunzo katika kampuni ya Cocacola (Nyanza Bottling Company Limited).Ili kupata mafunzo mbalimbali kuhusiana namna uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za kampuni hiyo unavyofanyika. Ziara hiyo iliandaliwa na chama cha wanafunzi wasomao uhusiano wa Umma SSPRA (SAUT STUDENT’S PUBLIC RELATIONS ASSOCIATION)iliandaliwa mahususi kwa ajili ya kuwapa mafunzo ya vitendo kwa wanachama wao hususani katika uhusiano wa umma na masoko yanayofanya na kampuni hiyo. Aidha wakati wa mafunzo hayo maswali kadhaa yaliulizwa hasa pale wanafunzi walipotaka kujua wapi malighafi zinatolewa kwaajili ya uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za kampuni hiyo,kufuatia swali hilo mwelimishaji alibainisha kuwa malighafi nyingi zitumikazo katika uzalishaji kama vile sukari ,uzalishaji wa chupa hutoka chi za nje kama vile Brazil, Saudi Arabia, Afrika kusini sababu zilizotolewa na mwe