Posts

Showing posts with the label PR

WAREMBO WA CHUO KIKUU KUTOANA JASHO JUMAMOSI HII

Image
Shindano la kumsaka mrembo wa chuo kiu cha Kmpala International University 2011 litarajiwa kufanyika jumamosi hii katika ukumbi wa Savanna Lounge (quality center) uliopo barabara ya Pugu,jumla ya warembo 12 wamejitokeza kuwania taji hilo siku ya tarehe 22 octoba. Shindano litapambwa na wasanii wa kizazi kipya kipya Dully sykes,D-nob,Ngoma za asili na vijana wa kutikisika(shers),mabali ya burudani hizo kutakuwa na suprize ya majai pamoja masupastaa wa movie. Miss Kampala Internationa 2011 imeandaliwa na serikali ya wanafunzi ikishirikana na wadau maarufu wa mabo ya urembo na mitindo nchini Tanzania,tiketi za fainali hizi zinapatikana CLOUDS fM,CHUONI KWAO,JB BELMONT HOTEL,SAVANNA LOUNGE(quality center)kitchen hut (mlimani city) kwa iasi cha 10,000/= (regular) na V.I.P 30,000/= Shindano hili limedhaniwa na Savanna Lounge hotel,Belmont hotel,clouds fm,Air Uganda na uniqueentertz blogspot.

MAMIA WAJITOKEZA KATIKA MAZISHI YA HILDER .N. HOLELA

Image
JENEZA LIKIWA PEMBENI YA KABURI KABLA YA KUWEKWA NDANI MAKABURI YA KINONDONI WAOMBOLEZAJI WALIOJITOKEZA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI WAOMBOLEZAJI WALIOJITOKEZA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI MWILI WA MAREHEMU HILDER UKIWA NDANI YA KABURI Hilder N. Holela ambaye alikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Mt. Augustino akisomea Public Relations and Marketing mwaka wa pili alifariki tarehe 13 August, 2011 jijini Dar Es salaam amezikwa leo katika makaburi ya kinondoni jijini Dar Es salaam na mamia ya waombolezaji. Wanafamilia wanatoa shukurani zao kwa Madaktari wa hospitali ya Amana,Madonna kwa moyo wao waliouonyesha wakati wa kunusuru maisha ya marehemu,pia na kwa waombolezaji wote waliojitokeza katika kukamilisha safari ya Hilder hapa duniani. Mungu alitoa na Mungu ametwaa pumzika k wa Amani Hilder RIP HILDER