Posts

Showing posts with the label technolojia

Windows 10 is around the corner, you will get it for FREE, sign up!

Image
Microsoft  announced  that Windows 10 is launching in 190 countries and 111 languages in a few months from now. But here is a great news for those enthusiastic about it; Microsoft promised that they will offer a free upgrade to Windows 10 for qualified new or existing Windows 7, Windows 8.1 and Windows Phone 8.1 devices that upgrade in the first year!  And even better: once a qualified Windows device is upgraded to Windows 10, they will continue to keep it up to date for the supported lifetime of the device, keeping it more secure, and introducing new features and functionality over time – for no additional charge. Click on the button to  sign up  for it. Read more from their   blogs.windows.com

HABARI NJEMA KWA WATUMIAJI WA WHATSAPP SASA UNAWEZA KUPIGA NA KUPOKEA SIMU.JIFUNZE JINSI YA KUFANYA

Image
Habari mpya kwa watumiaji wa mtandao wa whatsApp, sasa huduma ya voice call kutoka app ya whatsApp imeanza kufanya kazi, tangu jana app yao imefanyiwa new update! Lakini App hii itakuwezesha tu kupokea simu kutoka kwa mtu ambaye account yake ya whatsApp iko activated, fuata maelekezo yafuatayo ili kuweza kupata huduma hii. 1.Kwanza ingia kwenye website ya link hiyo hapa chini iliyoandikwa download na uweze kudownload WhatsApp yenye version 2-11-56, usi unistall kwanza whatsApp unayotumia. DOWNLOAD HAPA  ukimaliza install kwa kureplace whatsapp vesion unayotumia kwenye simu yako. 2. Mara baada ya kuinstall whatsapp version mpya tuma msg ya kuomba kuactivetia whatsapp yako kwenda  namba hii 0715 019393 au kwa mtu yoyote unayejua kwamba ameshaanza kutumia whatsapp voice call, kupitia namba hiyo hapo juu  account yangu tayari imeshakuwa activated mimi nitakupigia ili uweze kupokea, ukipokea tu tayari account yako itakuwa activated na utaweza sasa kupiga simu kwa mtu...