Posts

Showing posts from June, 2016

Magazeti ya Leo Alhamisi ,June 30

Image

LAPF NDANI YA MAONESHO YA SABASABA 2016

Image
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw. James Mlowe akizungumza na waandishi wa habari kuhusu sababu za ushiriki wa Mfuko katika maonyesho ya biashara ya kimataifa (Saba Saba 2016). Afisa Mifumo ya kompyuta kutoka Mfuko wa Pensheni wa LAPF Bw. Yohana Nyabili akitoa maelezo kwa mwanachama wa Mfuko pamoja na kumpatia taarifa ya michango yake mara baada ya mwanachama huyo kutembelea banda ya Mfuko kwenye maonyesho ya biashara ya kimataifa (Saba Saba 2016)

#BungeLive: "...matangazo yatarushwa moja kwa moja na redio zote" - Waziri Nape

SERIKALI imesema inaangalia uwezekano wa kuviruhusu vituo vya redio nchini, kurusha matangazo ya vikao vya Bunge moja kwa moja. Hatua hiyo imekuja baada ya serikali kupokea maoni ya wadau mbalimbali ikiwemo wanahabari waliokwenda Dodoma, kuonana na Uongozi wa Bunge kujadili suala hilo la matangazo ya Bunge kurushwa moja kwa moja. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye wakati akizungumza kwenye uzinduzi wa studio ya kuzalishia vipindi ya Mtandao wa Redio za Jamii nchini (COMNETA) iliyopo Chuo Kikuu Huria (OUT) jijini Dar es Salaam. “Jambo moja ni kwamba kupitia studio za Bunge matangazo yatarushwa moja kwa moja na redio zote zinaweza kupokea matangazo hayo na zenyewe zikarusha. Hii itasaidia hata kupunguza gharama kwa sababu zamani ilikuwa ni lazima utume wa waandishi upeleke vifaa, sasa hii redio nyingi hasa hizi za kijamii haziwezi kumudu,” alisema Nape. Alisema jambo hilo ni jipya na kwa sababu ni jipya, litak

Magazeti ya Leo Jumatano

Image

UFAFANUZI KUTOKA NBS

Image

TATIZO LA MIKOPO KUPATIWA UFUMBUZI

Image
Wananchi mbalimbali wakiingia katika Maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa kwa ajili ya kujipatia bidhaa mbalimbali.Maonyesho hayo yameanza jana hii Jijini Dar es salaam.Picha n Daudi Manongi,MAELEZO Askari wa JKT pamoja na FFU wakihakikisha usalama wakati wananchi wakiingia katika viwanja vya Mwalimu Nyerere kuangalia bidhaa mbalimbali baada  ya maonyesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa kuanza jana jijini Dar es salaam. Afisa Habari Idara ya Habari,MAELEZO Bi.Immaculate Makilika akizungumza jambo na Afisa Biashara kutoka Wizara ya Viwanda ,Biashara na Uwekezaji Bw.Baruti Mwaigaga(kushoto)  katika banda la Wizara hiyo viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Mwananchi akiangalia moja ya bidhaa  zinazotengenezwa na kikundi cha African Flowerless fashioncha Arusha kinachouza bidhaa zake nje ya nchi.Kulia ni Afisa wa kikundi hicho Bi.Suzana Mwalongo.