UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI _______________________________________ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amewahamisha na kuwateua baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:- 1.0 OFISI YA RAIS Hakuna mabadiliko. 2.0 OFISI YA MAKAMU WA RAIS 2.1 Waziri wa Nchi (Muungano) - Hakuna mabadiliko 2.2 Mhe. Eng. Dr. Binilith Satano MAHENGE (Mb) Waziri wa Nchi (Mazingira). 2.3 Mhe. Ummy Ali MWALIMU (Mb) Naibu Waziri 3.0 OFISI YA WAZIRI MKUU Hakuna mabadiliko 4.0 WIZARA ...