Posts

Showing posts from November, 2016

Magazeti ya Leo Ijumaa

Image

DONALD TRUMP AFANYA UTEUZI WA AWALI

Image
Reince Priebus alionekana na Donald Trump usiku wa siku ya uchaguzi Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, amemteua mwenyekiti wa kamati ya taifa ya chama cha Republican, Reince Priebus, kutumika kama mkuu wa wafanyakazi. Bwana Priebus ana uhusiano wa karibu na spika wa baraza la wawakilishi Paul Ryan. Wandishi wa wa habari wanaarifu kwamba uteuzi wa Piebus unaweza kuwaudhi wafuasi wake wa hali ya chini na hii inaashiria kwamba uongozi ujao unalenga kufanya kazi kwa karibu na baraza la Congress kujihakikishia ushindi wa mapema wa baraza hilo. Stephen Bannon aliacha kazi yake ya awali na kuwa kampeni meneja wa Donald Trump Stephen Bannon, alikuwa ni mwenyekiti wa taasisi ya Breitbart News, ambayo ni tovuti yenye maoni ya mrengo wa kulia , naye ameteuliwa kwa nafasi ya mkuu wa mipango na mshauri mwandamizi. Mkuu wa wafanyakazi ambaye anafanya kazi kama mruhusu na mtengeneza ajenda kwa rais, na kwamba ni mmoja wa chaguo muhimu la mapema kwa rais ajae. Katika taarifa yak...

WAZIRI WA MICHEZO ARIDHISHWA NA UKARABATI UWANJA WA NYAMAGANA

Image
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nhauye (wa nne kulia), akiteta jambo la Afisa Habari, ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Atley Kuni (wa tatu kushoto) alipotembelea uwanja mkongwe wa Nyamagana Jijini Mwanza hii leo ili kujionea zoezi la uwekaji wa nyasi bandia kwenye uwanja huo. Waziri Nhauye ameeleza kuridhishwa na uwekaji wa nyasi bandia kwenye uwanja huo ambapo amewashukuru wadau wote waliofanikisha ukarabati wake wakiwemo wajasiriamali Jijini Mwanza ambao kodi zao zimesaidia upatikanaji wa zaidi ya shilingi Milioni 190 kutoka Halmashauri ya Jiji hilo ambazo zilizojumuishwa na dola za Kimarekani Laki Tano zilizotolewa na Shirikisho la Soka Duniani FIFA kwa ajili ya utekelezaji wa mradi huo. Altaf Hiran Mansoor ambaye ni mdau wa michezo Jijini Mwanza na Mkurugenzi wa Kampuni ya Mafuta ya MOIL, amesema kampuni hiyo iko tayari kuchangia ukarabati wa uwanja huo ikiwemo ujenzi wa majukwaa. Na BMG Itakumbukwa kwamba nyasi bandia kwa ajili ya uwanja huu zili...

MAGAZETI YA LEO JUMATATU

Image

Sales Internship in Tanzania

Job Summary World-Class Skills is about Microsoft’s plans to develop a self-sustaining, world-class education platform, both online and offline, to help Africans develop skills for entrepreneurship and improved employability and competitiveness. Microsoft, in partnership with the host organization, offer you a unique opportunity to kick start your career. The internship program will provide you with a real-world work experience and new skills while working for a leading technology organization on the African continent.  A sales intern must have: excellent communication skills both verbal and written very good organizational skills should be persuasive and know how to negotiate well must be good with numbers as well.  hardworking and willing to do a lot of legwork at the grassroots level if required For responsibilities, job requirement and more about this offer, open the following link  https://www.fuzu.co...