Posts

THE CHOICE WEB YATOA MAJINA SITA YA WASANII WANAOHESHIMIKA ZAIDI JE NI KINA NANI HAO?

Image
Kutokana na utafiti uliofanywa na timu nzima ya  www.thechoicetz.com , imebaini wasanii 6 upande wa muziki wa kizazi kipya wanaoheshimika sana Tanzani katika jamii.Vigezo vilivyo zingatiwa katika utafiti huu ni pamoja na kutobaini skendo za ajabu ajabu kwa hawa wasanii,pia hutumiwa katika utoaji nasaa mbalimbali katika jamii pia wanajiheshimu katika mambo yao kwa ujumla. 1.LADY JAY DEE Mwanadada JIDE ama binti machozi ameweza kuongelewa sana kama msanii anayeheshimika sana tanzania kutokana na idadi kubwa ya watu walio hojiwa kumtaja yeye kama ndo mwana muziki mwenye kuheshimika sana tanzania kwa upande wa muziki wa kizazi kipya 2.PROF J Prof J naye hakuwa nyuma katika kutajwa na idadi kubwa,Prof j kama muhasisi mkubwa wa huu muziki wa kizazi kipya anaheshimika sana kutokana na mchango wake mkubwa katika hii gemu bila ya kuwa na sifa mbaya zinazo weza kumchafulia heshima yake 3.FID, Q Huyu ni msanii aliyezungumziwa kuwa ni mpole sana mkinywa na hufanya kazi zake kwa

VICHWA VYA MAGAZETI LEO APRIL,4

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

BREAKING NEWS: HALI NI MBAYA HUKO TUNDUMA....MABOMU KILA MAHALI NA WATU WAMEAMRIWA WASITOKE NJE

....Masaa takribani matano mabomu ya machozi na risasi za moto zinasikika mataili yamechomwa barabarani maduka yote yamefungwa...  Ni mshikemshike kati ya vyombo  vya dola na raia hadi sasa msikiti mmoja umechomwa moto maeneo ya mwaka na kisimani    Hali ni mbaya zaidi kwan mabomu ya mochozi yanapigwa hadi vyumbani.  Imetollewa amri watu wote walale majumbani kwao  Chanzo  cha  tatizo  ni  waislamu  na  wakristo.Wametofautiana  juu  ya  suala  na  kuchinja... source : http://www.thechoicetz.com

NAFASI ZA KAZI 900 UTUMISHI WA UMMA

Image
Kumb. Na EA.7/96/01/D/23 TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma). Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi ya Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 944 za kazi kwa waajiri mbalimbali kama ifuatavyo: Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Katibu Mkuu wizara ya Mambo ya Nje ya Nchi na Ushirikiano wa Kimataifa, Afisa Mtendaji Mkuu Wakala wa Vipimo, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo Jinsia na Watoto, Katibu Mkuu Wizara ya Kazi na Ajira, Katibu Mkuu Wizara ya mifugo na Uvuvi, Katibu Mkuu Wizara