Posts

NEW VIDEO-JIBHILA VIDEO IDDY COM FT CHIKAKA

Image

ILE VIDEO YA DIAMOND, NUMBER ONE ULIYOKUWA UKIISUBIRI KWA HAMU KUITIZAMA HII HAPA

Image

WAFANYAKAZI WA STRABAG WAGOMA

WAFANYAKAZI WAGOMA: Wafanyakazi  wa Kampuni ya Strabag inayotengeneza barabara ya magari yaendayo kasi wamegoma, wadai kunyanyaswa, wataka nyongeza ya mshahara.

CHEKA KAFANYA KWELI ANGALIA HII VIDEO CLIP

Image

WAPENZI WA MOVIE HIZI WEBSITE ZINAKUHUSU.

Image
Matumizi ya Internet sasa hivi yanakuwa kwakasi sana Duniani, hivyo badala ya kwenda kwenye majumba ya cinema, unaweza kufurahia kuangalia Movie bila malipo yeyote, isipokuwa umejiunga na huduma za Internet. Na hizi ndizo WESITE zinazotoa fursa hiyo, kama unastress unaweza enjoy kwa kutembelea website hizi: NB: Bonyeza jina husika liyakuelekeza kwenye website husika 1.  Popcornflix   2.  Crackle  - 3.  Archive – Moving Images  - 4.  Snagfilms  - 5.  YouTube Channel – Movies  - 6.  Hulu  - 7.  Viewster  - 8.  Classic Cinema Online  - 9.  Retrovision  - 10.  Public Domain Torrents  - TOA MAONI YAKO HAPA CHINI PIA USISAHAU KU LIKE PAGE NA KUSHARE

VICHWA VYA MAGAZETI LEO JUMAMOSI 31 AUGUST HIVI HAPA.....

Image
 

Makundi ya UEFA Champions League hadharani.

Kundi A . Manchester United . Shakhtar Donetsk. Bayer Leverkusen. Real Sociedad. Kundi B. Real Madrid. Juventus. Galatasaray. Fc Coopenhagen. Kundi C. Benfica. Paris St Germain. Olympiakos. Rsc Anderletch. Kundi D. Bayern Munich. CSKA Moscow. Manchester City. Viktoria Plzen. Kundi E. Chelsea. Schalke 04. Fc Basel. Steua Bucharest. Kundi F. Arsenal. Oylmpique Marseile. Borrusia Dortmund. Napoli. Kundi G. Fc Porto. Atletico Madrid. Zenith St Petersburg. Austria Wien. Kundi H. Fc Barcelona. Ac Milan. Ajax Amsterdam . Glasgow Celtic.