Posts

HUU NDIO UJUMBE DIAMOND ALIOMWANDIKIA WEMA KATIKA SIKU YAKE YA KUZALIWA, WANAFIKI KAZI MNAYO

Image
  Wapenzi wanaofuatiliwa zaidi Diamond na Wema Sepetu wamepitia misuko siku tofauti mwaka huu mpaka kufikia kuachana na kurudiana,hivi katibuni pamekuwa na stori tofauti kuhusu ndoa na Diamond kuhusishwa na mwanamke mwingine, Kwenye siku ya kuzaliwa ya Wema Sepetu, Diamond ametumia instagram kutoa ya moyoni kuhusu penzi lake kwa Wema.

JIHAN DIMACHK NDIYE REDD'S MISS TANZANIA TOP MODEL 2014

Image
Mshindi wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top Model 2014, Jihan Dimachk (katikati) akipozi kwa picha na mshindi wa pili Doreen Robert (wapili kulia), mshindi wa tatu Evelyn Baasa ambaye pia ni Miss Tanzania Photogenic 2014 (wapili kushoto), mshindi wa nne, Lilian Timothy (kulia) na Mshindo wa tano Nasreen Abdul, mara baada ya kushinda taji hilo jana ambapo Jihan amekuwa mrembo wa pili kuingia katika nusu fainali za Miss Tanania 2014 baada ya Miss Photogenic. Shindano la Miss Tanzania Top Mode lilifanyika katika ukumbi wa Triple A jijini Arusha na kuwashirikisha warembo 30. . Picha/ Father Kidevu Blog  Warembo wakipita jukwaani wakiwa wamevalia nguo za mbunifu Zakia Disign wakati wa shindano hilo. Washiriki wakipita jukwaani na mavazi maridhawa kutoka Trecy Fashion ya jijini Arusha.  Jopo la majaji wakiwa katika meza yao tayari kwa kutoa hukumu kwa walicho kiona. Wadau wa urembo kutoka, Chuo cha Chuo Kikuu Iringa ...

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI, SEPTEMBER 27 YAPO HAPA

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . CHANZO: millard ayo

Picha Za Harusi Ya Beyonce Na Jay Z,Ujauzito Wa Beyonce Zilizokuwa zimefichwa tangu 2008 Waamua Kuzitoa.

Image
Shabiki wa Jay Z na Beyoncé hizi picha kutoka kwenye show yao ya HBO On The Run ambazo hazijawahi kuonekana popote. Video na picha za toka mwaka 2008 na kwenye harusi yao. Pia picha inamuonyesha Beyonce alivyokuwa mjamzito.