Posts

WATUMISHI WA UMMA SHEREHE ZA MWENGE SIMIYU WAJITOKEZA KWA WINGI KUSAJILIWA VITAMBULISHO VYA TAIFA

Image
Baadhi ya Watumishi wa Umma wakiendelea kupata huduma ya usajili na Utambuzi katika viwanja vya Sabasaba ambako maonesho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru yanafanyika. Wakati wa zoezi hilo mbali na kjaza fomu za maombi ya Vitambulisho, watumishi hao wamepata fursa ya kupigwa Picha, kuchukuliwa alama kumi (10) za vidole pamoja na saini ya Kielektroniki na hivyo kuwa wamekamilisha taratibu zote muhimu za usajili Mmoja wa Watumishi akiendelea na taratibu za usajili na kuchukuliwa alama za kibaiolojia wakati wa usajili watumishi wa Umma, zoezi linaloendelea mkoani Simiyu Mmoja wa Maafisa Usajili wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ofisi ya Wilaya ya Bariadi (mwemye kofia nyeupe), akiendelea kuingiza taarifa za mmoja wa Watumishi wa Umma aliyejitokeza kusajiliwa wakati zoezi la Usajili watumishi wa Umma likiendelea mkoani Simiyu. Wengine waliomzunguka ni Watumishi kutoka Idara, Taasisi na Wizara za Serikali wakiendelea kusubiria huduma hiyo ...

ALIYEWAHI KUWA MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM DIDAS MASABURI AFARIKI DUNIA

Image
Aliyewahi kuwa Meya wa Dar na Mbunge wa Afrika Mashariki, ndg Didas Masaburi amefariki dunia usiku huu katika hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa.

Kurasa za mbele na nyuma za baadhi ya magazeti ya Tanzania leo Oktoba 7, 2016

Image

TAARIFA KUHUSU WALIMU WALIOPIGA WANAFUNZI SEKONDARI YA MBEYA

Image

Kurasa za mbele na nyuma za baadhi ya magazeti ya Tanzania leo Oktoba 5, 2016

Image

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim  Majaliwa kabla ya kuanza kwa Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam jana Septemba 29, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongoza  Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam jana Septemba 29, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongoza  Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam jana Septemba 29, 2016 Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiongea mara baada ya kumalizika kwa  Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam jana Septemba 29, 2016 PICHA NA IKULU

RAIS MAGUFULI APOKEA HATI YA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI WA UINGEREZA HAPA NCHINI

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Uingereza hapa nchini Sarah Catherine Cooke Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi mteule wa Uingereza hapa nchini Sarah Catherine Cooke mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi mteule wa Uingereza hapa nchini Sarah Catherine Cooke mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi mteule wa Uingereza hapa nchini Sarah Catherine Cooke kufuatia mchango wa Waziri Mkuu wa Uingereza alioutoa kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya kusaidia waathirika wa Tetemeko la Ardhi mkoani Kagera kiasi cha Paundi za Uingereza Milioni 2.3 sawa na Takribani Shilingi Bilioni...