Posts

What's My Name? Feat Drake Official Behind the Scenes

ROSE SHAYO MISS EARTH TANZANIA 2010 AKIWA KAMBINI...

Image
Good luck Rose

JAMANI HII NDIO MUSOMA HOTEL YA LEO

Image
Watanzania hii ndio musoma Hotel ya Leo nipe maoni mdau picha ni kwa msaada wa Augustino Mgendi

HAYA NI NDIYO MAISHA BORA AU BORA MAISHA?

Image
AMBULANCE KIJIJINI PETU. USAFIRI NA MIUNDO MBINU. KWAO MBOGA SABA KUJISEVIA KWETU MULO MUMOJA WA MANATI. TWAISHI KAMA NYOKA. DARASA KAMILIFU NA UPEPO MWANANA HAIHITAJI FENI WALA AIR CONDITION. NYUMBA ANAYOISHI MWALIMU MKUU. DARASA LA MWANANGU KARNE YA 21. KWAO GESI NA UMEME. MAKAZI YETU. MAJI SAFI KWA KILA M... MWENYE HELA. MAJI SAFI KWA KILA MWENYE NIA. MAJI YETU KWAO MAJI TAKA. HALI YAKUKATISHA TAMAA. MAHAKAMA YA KITAA ISHAAMUA. TWASOMA ILI IWEJE? WAVUMBUZI WETU WANAUMIZA VICHWA KUVUMBUA LAKINI INAFIKA MAHALI WANAGOTA NA KUBAKI MASKINI. TUTAFANYAJE SASA? ISHAKUWA, WACHA TULEWE!

HIVI NDIVYO ILIKUWA MWANZA KABLA YA MATOKEO YA UBUNGE KUTOLEWA

Image
WAANDISHI WA HABARI WAKIHAHA KUJIKOSHA NA MAJI MARA BAADA YA POLISI KURUSHA MABOMU YA MACHOZI KUWATAWANYA WANANCHI WALIOKUWA WAKIFANYA FUJO KATIKA ENEO LA OFISI ZA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA JANA JIONI. AKISIMAMA JUU KATIKA NGUZO ZA GETI KUU OFISI ZA HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA KIJANA HUYU ALIKUWA AKILIA KWA MACHUNGU KWA NINI MATOKEO YANACHELEWA KUTANGAZWA. MGOMBEA UBUNGE WILAYA YA NAYMAGANA BW. WENJWE AKIWATULIZA WANACHAMA WAKE KUWA WATULIVU NA KUYASUBIRI MATOKEO RASMI MARA BAADA YA UHAKIKI KUFANYIKA INGAWA TAYARI KULIKUWA NA DALILI ZA WATU KUCHOKA KUYASUBIRI MATOKEO HAPA ILIKUWA SAA NANE NA DK 45 MCHANA. KAMANDA WA POLISI MKOA WA MWANZA SIMON SIRO ALIWASIHI WANANCHI KUWA WATULIVU NA KUTOFANYA VURUGU KWANI JESHI HILO LIKO MAHALI HAPO KULINDA AMANI NA USALAMA HUKU LIKI HAKIKISHA ZOEZI HILO KUWA LINAFANYIKA KWA HAKI NA WANANCHI KUSHEREHEKEA USHINDI WAO KWA AMANI. WATU MAELFU KWA MAELFU KUTOKA KATA ZOTE ZA WILAYA ZOTE MBILI (NYAMAGANA NA ILEMELA) WALIANDAMANA

ALI KIBA MAKE IT HAPPEN........

Image
Kama wewe ni Mtanzania mpenda maendeleo hasa ya muziki wetu huna budi kumpongeza Ali Kiba kwa hatua aliyofikia na mafanikio yake kwa kuwa mmoja kati ya wasanii 8 toka Afrika walio-sign mkataba mnono sana. Hapo kati ni 2face , Kiba mwenyewe na JK wakiwa moja ya mitaa ya Chicago U.S.A Hapa ni ma-star wanaounda kundi la ONE8 wakiwa Studio waki-record ngoma yao pande za Chicago........ ONE8 ni kundi linalojumlisha ma-star 8 across Africa akiwemo Ali Kiba kutoka hapa kwetu Tanzania , Navio- Uganda , Aman - Kenya, 2face - Nigeria na wengine..................... Me nakutakia mafanikio mema ndugu. Tuwakilishe Watanzania na Muziki wetu the source of this info is from www.arniegizzle.blogspot.com

NGUVU YA UMMA NOMA,MBUNGE MTEULE WA MUSOMA MJI NI

Image
picha mbalimbali za Mbunge mteule wa jimbo la Musoma Mjini katika harakati zake za kampeni na hatimaye mambo yamekamilika leo asubuhi baada ya kutangazwa rasmi kuwa mshindi wa jimbo hilo kupitia chama chake cha CHADEMA