Posts

OMMY DIMPOZ: "NDOTO YANGU ILIKUWA NI KUZAMIA ULAYA"

Image
Mawazo ya kuwa maisha mazuri yapo Ulaya hayakuwa mageni kwa Faraji Omar Mgimbo aka Ommy Dimpoz. Mipango yake akiwa shuleni ilikuwa ni kutafuta njia yoyote iwezakanayo, iwe halali ama haramu ili afike Ulaya na mengine yangejulikana huko huko. Dimpoz kwa pozi kama anavyopenda umuuite, aliamini kuwa akifika Ulaya, nchi yoyote, atapata kazi, hata kama ni kazi ya ndani ama kubeba box, ilimradi tu yupo Ulaya. Lakini baada ya muda kwenda, kijana huyu mwenye asili ya mkoa wa Kigoma wazo la kuzamia majuu likaanza kuyeyuka na kulipisha wazo jingine la kutafuta maisha katika muziki. Kama aliyeongozwa na Malaika kujaribu bahati yake katika muziki kwa kuanzia na uimbaji wa bendi, leo hii Ommy Dimpoz ni msanii asiyekoswa kutajwa na mashabiki wa muziki nchini. Akianza na Nai Nai aliyomshirikisha Ali Kiba, watu walidhani labda wimbo huo umehit kwasababu kamshirikisha staa wa Cinderella. Akiongena na kipindi cha Power Jams cha East Africa Radio jana, amesema hata yeye mwenyewe wimbo huo aliuchukul

FID Q - I AM A PROFESSIONAL ...........

Image

Mory Kanté- yeke yeke Unakumbuka wapi hii

Unapousikiliza wimbo huu unakumbuka wapi?sasa ijumaa hii ya leo tukumbushane wimbo wa yeke yeke,me nakumbuka enzi hizo nilikuwa mdogo sana. .

TBF OFFICIALS AND HASHEEM THABEET @US EMBASSY AND KIPINGU's SCHOOL

Image
  TBF Officials Magesa and Maluwe, Hasheem Thabeet and US Cultural Affairs Officer Ms. Dana Banks at US Embassy today , US Embassy hosted us today, donated 50 balls and signed a grant.   TBF Vice President Phares Magesa exchanging grant documents with US Cultural Affairs Officer Ms. Dana Banks at US Embassy to support part of costs of Under 17 Arusha Basketball Clinic to be conducted by Coach Greg Brittenham on 9-10 June 2012.  At Kipingu's School Lord Barden Powell High School, School Director Col. Iddi Kipingu, Hasheem, Magesa and another tallest player in the country Julias Charles who is a student at Kipungu's school. Hasheem talking to students at Lord Barden Powell High School.     Date: 31/05/2012 US Embassy in Dar Es Salaam today hosted Hasheem Thabeet and TBF Vice President Phares Magesa who was accompanied by TBF Assistant Secretary General Michael Maluwe, TBF Treasurer Ms. Marry Mbaga. The US Embassy thanked Ha

USIKU WA SUGU KUITEKA DAR LIVE J'PILI HII

Image

MAISHA CLUB KUZINDUA USIKU MAALUM

Image
  Maisha Club ya Dar es Salaam imeamua kuzindua usiku maalum ili kuweza kuwapa wateja vionjo mbali mbali. Burudani hii itakayozinduliwa mwezi wa juni ni mwendelezo wa burudani ambayo hutolewa ndani ya ukumbi huu wa maraha. Tarehe 7 Juni itazinduliwa usiku maalum wa FM Academia (Wazee wa Ngwasuma) ambapo atatafutwa mwanadada mwenye uwezo wa kulingwasimisha ndani ya maisha. Alhamisi tarehe 8 juni itazinduliwa usiku wa Uzalendo plus na Twanga Pepeta ambapo kauli mbiu ni ‘tupende vya nyumbani’. Kutakuwa na burudani na vionjo mbali mbali kutoka makabila ya humu nchini. Uzinduzi utaanza na burudani toka katika kabila la Wahaya. DJ Ommy Mratibu

PRO.....INAWAHUSU HII SIYO YA KUKOSA

Image
HII SIYO YA KUKOSA LETS COME TOGETHER BROTHERS AND SISTERS AND SHARE THE LAUGHTER WITH UR FELLOW COLLEAGUE AT ISAMILO LODGE

MPANGO MZIMA NI JUMAMOSI HII NDANI YA VIWANJA VYA POSTA KIJITONYAMA

Image

MHESHIMIWA ANAMAANISHA KWELI AU................

Image

WABUNGE CHADEMA WAAGWA RASMI KWA KUHUDHURIA MECHI YA KATI YA US v/s BRAZIL

Image
Baaada ya kazi ya kuzindua na kuimarisha tawi la CHADEMA Washington Dc Maryland na Virginia, Wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)Mhe. Peter Msigwa na Mhe. Nassari Joshua, Al-Marufu 'Dogo janja', Usiku wa Jana Jumatano Mei 30,2011 waagwa rasmi kwa kuangalia mpambano wa kimataifa kati ya US na Brazil ndani ya uwanja wa Fedex, uliopo Landover Maryland Nchini marekani  Idadi ya wapenzi waliohudhuria katika mpambano huo ni 67,656 wakiwemo Mhe. Nassari Joshua pamoja na Mhe, Peter Msigwa. Wabunge wa chama cha Chadema wakipata flash ya pamoja na warembo wa Kibrazil ndani ya uwanja wa FedexField, uliopo Landover Maryland Nchini marekani. Picha ya pamoja na viongozi wa juu wa Chadema kwenye mpambano wa US na Brazil Usiku wa kuamkia leo Alhamis Mei 31,2012 ndani ya ndani ya uwanja wa Fedex, uliopo Landover Maryland Nchini marekani Nabendera ya Taifa wakishangilia Bao la kwanza la Brazil lilifungwa kwa Penalti na mchezaji Neyma Wachezaji wa

Joyce Kiria: Hausigeli aliyegeuka mtangazaji mahiri

Image
UGUMU wa Maisha ni Kipimo cha Akili. Huu ni usemi uliozoeleka katika maisha ya kijamii hasa kwenye miaka ya sasa ambapo hali ya uchumi imekuwa ikizidi kuwa ngumu. Katika ugumu wa maisha huo kuna walioshindwa kabisa kujikwamua hadi kukata tamaa. Lakini kuna ambao wameutumia ugumu huo kutafuta namna ya kujikomboa, ndiyo wanaozungumzia kwenye usemi huu. Mmoja wa watu hao ni mtangazaji ambaye pia ni Mmiliki wa Local Media Entertainment, kampuni inayoendesha vipindi vya televisheni vya 'Wanawake Live' na 'Bongo Movie', vinavyorushwa na Kituo cha EATV, mwanadada Joyce Kiria. Utumwa pasipo malipo sahihi na kutokuwa na uhuru wa maamuzi, vilikuwa sehemu ya maisha yake kwa muda mrefu. Ilikuwa ni baada ya kumaliza elimu yake ya msingi. "Unajua natoka katika familia ya hali ya chini, hivyo nilipomaliza Darasa la Saba sikuwa na namna ya kuendelea na masomo," anasema. "Nilianza kwa kufanya kazi za ndani za u-hausigeli, nilifanya kazi hi

Exam Preparation Tips

For many people, exam time is the most stressful part of the school year. With so much riding on the outcome, there can be a high degree of pressure to perform well. Here are some exam preparation tips to help you excel in school. Getting Started The earlier you start, the more time you will have to prepare for the exam. You don't have to wait until exam time approaches; try to set the stage from the beginning of the course by reviewing the material after each class. By starting early and studying on a regular basis, you will have a better opportunity to absorb the information and life will be a lot easier when it's time to put it all together for the exam. Make sure all of your course material is well organized so you can find and fill any gaps. If you miss any classes, get the notes from your friends right away instead of scrambling at the last minute. Proper organizatio