Posts

MWANZA REGIONAL MODEL OF UNITED NATION HAVE BEEN DONE AT NSUMBA HIGH SHOOL

Image
The First and Successfully Mwanza Regional Model of United Nations has done on 12th January 2013 at Nsumba High School where by 30 delegates have participated from different YUNA Chapters and UN Clubs such as Saint Augustine University of Tanzania(SAUT),College of Business Education (CBE),Nsumba High Secondary School,Mkolani High Secondary School and Mwanza Secondary School. The Theme of MMUN states ;The model envisioning new social and economic development strategies post 2015  . This Theme intended to draft a resolutions which  will improve social,humanitarian and Culture as well  as financial and Economic development as Agreed by UN countries to Fulfill Millennium Development goals (MDG'S) post 2015. MMUN General Assembly controlled by Hussein Melele as the President  of the MUN with cooperation of   General secretary of the R-MUN and other Executive committees.  Executive committee picture together with the Mwanza Model of United Nations General Assembly 2013 wit

MATOKEO KIDATO CHA PILI

Naibu waziri wa Elimu Philip Mulugo ametangaza matokeo ya kidato cha pili kupitia vyombo vya habari leo na yalikuwa kama ifuatavyo hapo chini: 1. Waliofanya mtihani 386,248   2. Waliofaulu 249,325 (65%) 3. Waliofeli 136,923 (35%) 1.0                 UTANGULIZI Mtihani wa Taifa wa Elimu ya Sekondari Kidato cha Pili ulifanyika nchini kote kuanzia tarehe 05/11/2012 na kumalizika tarehe 16/11/2012. Mwaka 2012 kulikuwa na jumla ya vituo 4,304 vilivyosajili watahiniwa, ikiwa ni ongezeko la vituo 117(2.79 %) ikilinganishwa na ile ya mwaka 2011. 2.0                WATAHINIWA WALIOSAJILIWA, WALIOFANYA NA WASIOFANYA MTIHANI 2.1                  Idadi ya watahiniwa waliosajiliwa kufanya mtihani walikuwa 430,327, kati yao wasichana walikuwa 205,476 na wavulana 224,851. Idadi hii ni upungufu wa watahiniwa 36,240 (7.76%) ikilinganishwa na mwaka 2011 ambapo walikuwa 466,567. 2.2                 Watahiniwa 386,271 sawa na asilimia 89.76 ya waliosajiliwa, walifanya mtihani wakiwemo wasi