Posts

PICHA: MATUKIO YA AIBU USIKU WA CHRISTMAS

Image
Email Thi vcCHA

NEW VIDEO: TUNDA MAN- "MAPENZI YALE YALE"

Video mpya ya msanii wa Tiptop ‘Tunda Man’ wimbo unaitwa ‘Mapenzi yale yale’ na ni miongoni mwa kazi mbili alizotoa kwa wakati mmoja. Video imetayarishwa na Abykaz kutoka kampuni ya Blue Media Production.

MWIGULU MGENI RASMI TAMASHA LA UPENDO WA MAMA

Image
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba   NAIBU Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuongoza Tamasha Maalumu la 'Upendo wa Mama' linalotarajiwa kufanyika katika Kanisa la Rutheran Mabibo Extenal jijini Dar es Salaam na kushirikisha waimbaji wengi kutoka ndani na nje ya Tanzania. Akizungumzia tamasha hilo leo jijini Dar es Salaam, Rais wa taasisi ya Upendo kwa Mama Foundation yenye makao makuu yake mkoani Arusha, Injinia Carlos Mkundi alisema Naibu Waziri Nchemba ndiye mgeni rasmi wa Tamasha hilo maalumu ambalo pamoja na mambo mengine linafanyika kutambua mchango mkubwa wa mama kuanzia katika ngazi ya familia na jamii nzima. Injinia Mkundi alisema tamasha hilo litakalofanyika Januari Mosi, 2015 chini ya uratibu wa Taasisi ya Upendo kwa Mama Faundation, litashirikisha waimbaji wa injili akiwemo Faraja Ntaboba kutoka Congo, Stella Joel, Ado Novemba, Jane Misso, Edson Mwasabwite wote kutoka jijini Dar es Salaam. Na Rose Molel, Helen Kigazi wote kutoka mkoani Arush

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI DECEMBER 27 YAPO HAPA

Image
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . chanzo:millard ayo

Diamond na Mzee Yusuf walivyoweka historia @DarLive

Image
Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo. Diamond akiwachombeza mashabiki. Nyomi ya kufa mtu ndani ya Dar Live. Diamond akiwa kwenye jukwaa la kupanda na kushuka. Mfalme Mzee Yusuf on da stage. Mfalme akiwapa 5 mashabiki wake waliofurika Dar Live. Mzee Yusuf akiwadatisha mashabiki kwa ngoma zake kali. Nyomi ikiwa imedata na shoo kali kutoka kwa Mzee Yusuf. Mzee Yusuf akicharaza gitaa. Diamond akicheza sebene ndani ya Dar Live. Platnumz akizidi kufanya yake stejini. Diamond akimtambulisha kwa mashabiki mshindi wa zaidi ya milioni 500 za Big Brother Hotshots, Idris Sultan. Diamond na Idris wakifanya yao stejini. Idris Sultan akimtambulisha kwa mashabiki wa Dar Live mshikaji wake aliyekuwa naye kwenye mjengo wa BBA, Samantha wa Afrika Kusini. Diamond akichana mistari ya wimbo wa Muziki Gani na mshikaji aliyepanda stejini kumwakilisha Nay wa Mitego. Baada ya mshikaji hu