Posts

YANGA KUKUTANA NA GD ASPERANCA

Image

TIGO YATANGAZA VIDEO ZA YOU TUBE KUPATIKANA BURE USIKU KWA WATU WOTE

Image
 Mkuu wa Kitengo cha Vifaa vya Mawasiliano wa Tigo, David Zacharia  (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu huduma iliyoanzishwa na kampuni hiyo ya kutiririsha  video za YouTube bure  ambayo itakuwa inapatikana kwa wateja wote wa Tigo kuanzia saa 6.00 usiku hadi saa 12.00 alfajiri. Kulia ni Meneja Mawasiliano wa Tigo, John Wanyancha.  Meneja Mawailiano wa Tigo, John Wanyancha (kulia), akizungumza katika mkutano huo.  Wanahabari wakichukua taarifa hiyo. Na Dotto Mwaibale Kampuni  inayoongoza kwa maisha ya kidijitali ya Tigo Tanzania imetangaza upatikanaji wa huduma ya bure ya kutiririsha video za YouTube nyakati za usiku  kwa watumiaji wake wote ikiwa ni mara ya kwanza kwa kampuni ya simu  kutoa huduma hiyo  kwenye mitandao ya kijamii  bila tozo hapa nchini. Akitangaza tukio hilo jijini Dar es Salaam leo,  Mkuu wa Kitengo cha Vifaa vya Mawasiliano wa Tigo, David Zacharia  aliviambia vyombo vya habari kuwa  huduma y

Taarifa ya habari ChannelTEN, Aprili 21, 2016

Image

Kung'atuka kwa Mwigamba kutoka ACT-Wazalendo

Image
SAMSON Mwigamba, Katibu Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ameng’atuka rasmi nafasi hiyo kwa madai kuwa anaenda masomoni. Anna Mghwira, Mwenyekiti wa chama hicho ameliambia  MwanaHALISI Online  kuwa, Samson Mwigamba ataanza masomo ya shahada ya Uzamili ya Biashara (MBA) katika Chuo Kikuu cha Kenyata tawi la Arusha kuanzia mwezi Mei mwaka huu. “Kufuatia hatua hii ameomba aruhusiwe kung’atuka nafasi yake ya Katibu Mkuu wa chama. Katika kikao chake cha dharura kilichofanyika jana katika Hotel ya Kebby’s Jijini Dar es Salaam, Kamati ya Uongozi Taifa imeridhia ombi la Katibu Mkuu,” amesema Mghwira. Mghwira amesema kufuatia hatua ya kung’atuka kwa Mwigamba, Kamati ya Uongozi ya chama hicho imeiagiza kamati ya Mafunzo na Uchaguzi ianze mchakato wa kumpata katibu mkuu mpya kwa kuzingatia katiba na kanuni za uchaguzi wa chama. Aidha, Mwigamba amesema hatua hiyo haimzuii kushiriki katika shughuli zingine za chama atakapohitajika na akawa na muda wa kutosha. “Mimi ni mwanachama mwanzilishi

MAGAZETI YA LEO IJUMAA, APRIL 22

Image

MAGAZETI YA LEO ALHAMIS, APRIL 21

Image
4