Posts

Magazeti ya Leo Ijumaa

Image

ZAIDI YA WATU 40000 WANASHIKILIWA UTURUKI

Image
Waziri Mkuu wa Uturuki Binali Yildirim Waziri Mkuu wa Uturuki, amesema zaidi ya watu 40,000 wanashikiliwa na Polisi wakihusishwa na jaribio la kuipindua Serikali ya nchi hiyo. Katika hotuba yake ya moja kwa moja katika Televisheni, Binali Yildirim pia alisema takriban wafanyakazi wa sekta ya Umma 80,000 wamefutwa kazi wakiwemo wanajeshi,Polisi na watumishi wa Umma. Maelfu ya Taasisi yameshukiwa kuwa na mahusiano na Kiongozi wa kidini, Fethullah Gulen zimefungwa. Serikali ya Uturuki imemshutumu Gulen, ambaye anaishi uhamishoni nchini Marekani kwa kusuka mipango ya mapinduzi . Awali, Serikali ya Uturuki ilisema itawaachia huru watu 30,000 ili kupunguza mrundikano kwenye magereza. BBC

Kurasa za mbele na nyuma za baadhi ya magazeti ya Tanzania leo Agosti 18, 2016

Image

Pres. (ret.) Kikwete joins Harvard Ministerial Leadership Program Advisory Board

Image
Jakaya Kikwete His Excellency President Jakaya Kikwete, who served two terms as President of the United Republic of Tanzania from 2005 to 2015, will be joining the Harvard Ministerial Leadership Program Advisory Board.  In his more than 30 years of public service, President Kikwete served in different party, military and government positions.  He joined the Cabinet in 1988 and he held several ministerial portfolios including Minister for Finance, Minister for Water, Energy and Mineral Resources and Minister for Foreign Affairs and International Cooperation.  He was the longest serving Foreign Minister in the history of Tanzania after serving that position for a ten year tenure.  President Kikwete’s experience both as a head of state and as a cabinet member will be a great resource for the Advisory Board as it continues to help shape and guide development of the Program. Info. source:  ministerialleadership.harvard.edu

Kurasa za mbele na nyuma za baadhi ya magazeti ya Tanzania leo Agosti 17, 2016

Image