Posts

Magazeti ya Leo Jumatatu, Sept 19

Image

METL GROUP YAFANYA UZINDUZI WA KAMPENI YA “USIKATE TAMAA”

Image
 Mkurugenzi wa Masoko wa MeTL Group, Fatema Dewji-Jaffer akielezea kampeni ya USIKATE TAMAA na jinsi inavyoweza kubadili maisha ya watu waliokata tamaa ya kufanikiwa kimaisha.kulia na Kaimu Meneja Masoko Msaidiz wa Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group), Zainul Mzige.  Mkurugenzi wa Masoko wa MeTL Group, Fatema Dewji-Jaffer akizungumza kuhusu kampeni ya USIKATE TAMAA, Kushoto ni mwanamuziki Shetta na kulia na Kaimu Meneja Masoko Msaidizi wa Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group), Zainul Mzige.    Mwanamuziki, Nurdin Bilal Ali maarufu kama Shetta akielezea safari yake ya muziki hadi kufika hatua aliyopo sasa ambayo mwenyewe amesema kuwa kwake ni mafanikio makubwa. Katikati ni Mkurugenzi wa Masoko wa MeTL Group, Fatema Dewji-Jaffer. kulia na Kaimu Meneja Masoko Msaidizi wa Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group), Zainul Mzige. Mkurugenzi wa Masoko wa MeTL Group, Fatema Dewji-Jaffer akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa habari

CHANGIA MAAFA KAGERA

Image

Here is a new way Instagram has for you to filter out offensive comments

Image
Instagram is letting people filter out and hide comments with words or phrases they deem inappropriate, a move trying to make its network feel "positive and safe." Just go to the settings and look for the new section that says “Comments.” You’ll be given the option to hide inappropriate comments automatically. The new filtering tool will be switched on for all Instagram accounts this week, according to an Instagram spokesperson Systrom  on the Instagram blog . "To empower each individual, we need to promote a culture where everyone feels safe to be themselves without criticism or harassment," "It’s not only my personal wish to do this, I believe it’s also our responsibility as a company. So, today, we’re taking the next step to ensure Instagram remains a positive place to express yourself." Here's what the new comment filtering feature looks like in the Instagram app's settings:

MAGAZETI YA LEO JUMATANO

Image

MAGAZETI YA LEO IJUMAA

Image