Posts

Waliochaguliwa kujiunga vyuo vikuu mbalimbali kwa mwaka wa masomo 2016/2017

Chuo Kikuu Cha Mwalimu Nyerere   <<bonyeza Hapa>>   Chuo Kikuu Cha UDSM, DUCE na MUCE  <<bonyeza Hapa>>   Chuo Kikuu Cha Tumaini Makumira  <<Bonyeza Hapa>>  Chuo Kikuu Cha UDom  <<bonyeza Hapa>> Chuo Kikuu Cha IFM  <<Bonyeza Hapa>> Chuo Kikuu Marian  << Bonyeza Hapa>> Chuo Kikuu CBE  << Bonyeza Hapa>> Tumaini - Mbeya  << Bonyeza Hapa>>  &  <<Hapa>> Chuo Kikuu MUM  << Bonyeza Hapa>> Chuo MUM (Diploma)  <<Bonyeza Hapa>> Chuo - Stella Maris  << Bonyeza Hapa>> Chuo- Kampala - KU  << Bonyeza Hapa>>

WhatsApp adds option to invite people to group chat via links

Image
The popular messaging app, WhatsApp has added the ability to invite someone to join a group chat with a link. Any WhatsApp administrator who has joined the beta program (go to  Google Play and become a beta tester for this app ) have this option in the latest release (or download the APK  version 2.16.281 ) which lets you share the link directly using a QR code or NFC tag in this new beta changes. The admin can later revoke a link ultimately denying ability for anyone to join the chat.  To try it out, go to add a new participant to your chat goup, you will have a new "invite to group via link" option at the top of your contacts list. Tap on it to open a new screen with the unique link to your chat, which you can share via WhatsApp or copy & share using another app, or revoke.

MAGAZETI YA LEO JUMATANO

Image

NDEGE YA PILI YA BOMBARDIER Q-400 YAWASILI JIJINI DAR

Image
Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) ikitua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani. Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) ikipata Saluti ya maji (Water Canon Salutation) mara tu baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika  Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani. Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) ikiegeshwa karibu na pacha wake iliyofika wiki moja uliopita  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere

YALIOTAWALA KWENYE MAGAZETI YA LEO SEPT. 26

Image