Posts

Diamond na Mzee Yusuf walivyoweka historia @DarLive

Image
Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo. Diamond akiwachombeza mashabiki. Nyomi ya kufa mtu ndani ya Dar Live. Diamond akiwa kwenye jukwaa la kupanda na kushuka. Mfalme Mzee Yusuf on da stage. Mfalme akiwapa 5 mashabiki wake waliofurika Dar Live. Mzee Yusuf akiwadatisha mashabiki kwa ngoma zake kali. Nyomi ikiwa imedata na shoo kali kutoka kwa Mzee Yusuf. Mzee Yusuf akicharaza gitaa. Diamond akicheza sebene ndani ya Dar Live. Platnumz akizidi kufanya yake stejini. Diamond akimtambulisha kwa mashabiki mshindi wa zaidi ya milioni 500 za Big Brother Hotshots, Idris Sultan. Diamond na Idris wakifanya yao stejini. Idris Sultan akimtambulisha kwa mashabiki wa Dar Live mshikaji wake aliyekuwa naye kwenye mjengo wa BBA, Samantha wa Afrika Kusini. Diamond akichana mistari ya wimbo wa Muziki Gani na mshikaji aliyepanda stejini kumwakilisha Nay wa Mitego. Baada ya mshikaji hu