Posts

Showing posts from October, 2010

BREKING NEWZ SUPER COACH MZIRAY KATUTOKA

Image
Marehemu Syllesai HABARI ZINASEMA SUPER COACH SYLVESTER SAID MZIRAY AMEFARIKI DUNIA ALFAJIRI YA LEO KATIKA HOSPITALI YA AGA KHAN JIJINI DAR ALIKOKUWA AMELAZWA AKISUMBULIWA N MALARIA. HABARI ZA MIPANGO YA MAZISHI ZITAFUATA MARA TU BAADA YA KUPATIKANA. COACH MZIRAY , ALIYEKUWA MWAJIRIWA WA CHUO KIKUU HURIA KAMA MHADHIRI, ATAKUMBUKWA KWA UMAHIRI KATIKA UFUNDISHAJI SOKA KATIKA VILABU MBALIMBALI HADI TIMU YA TAIFA ILIYOSHINDA UBINGWA WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI. ALIFUNDISHA PIA PILSNER, SIMBA, YANGA, PAN AFRICAN NA KABLA YA MAUTI KUMKUTA ALIKUWA MWALIMU WA VIUNGO NA SAIKOLOJIA WA KLABU YA SIMBA. GLOBU YA JAMII INAUNGANA NA WATANZANIA WOTE KUOMBOLEZA MSIBA HUU MZITO AMBAO NI PIGO KWA TASNIA YA MICHEZO NCHINI UKIZINGATIA TUNA MAKOCHA WACHACHE WALIOSOMEA FANI HIYO NA KUBOBEA. MOLA AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI - AMIN

AY NA SEAN KINGSTON NDANI YA COLLABLE

Image
Ambwene Yesaya (AY) kwa wakati huu yupo mjini Mombasa akisubiri kupiga Show katika maadhimisho ya Siku ya Mashujaa wa Nchini Kenya, lakini Ishu nayotaka kuzungumzia hapa ni kuhusiana na Collabo waliypanga Kupiga A.Y na Msanii wa Kimataifa Sean Kingston, Kama unakumbuka A.Y aliwahi kusema miezi ya Kumi au Kumi na moja atachomoka kuelekea Katika jiji la Miami nchini marekani, Kukutana na Sean Kingston, So Gwafara Gwafara ilimvutia wire, ili kujua Safari hiyo ipo ama ni Magumashi. A.Y: Baada ya kutoka huku Mombasa Safari inayofuata ni ya kwenda Miami nchini Marekani, na tayari nimesha rekodi ngoma tatu, ambazo nitakwenda kumskilizisha Kingston so yeye atachagua ipi ambayo ipo mzuka kwake kutupia Vocal, lakini pia niko tayari kukaa nae chini kutunga Idea mpya ya wimbo kama hizi hazitomvutia. 255: Umesema umefanya Ngoma, Je Ngoma hizo umepigia Studio gani, na kuna msanii yeyote kutoka Bongo au Afrika Mashariki uliyemshirikisha kwenye Hizo ngoma? A.Y: Ngoma hizo nimepiga chini ya Mtu mzima P...

SITOMWACHA LYRICS BY STEVE R&B RAET NGWEA

Verse 1: Steve r*b nakuhitaji we baby sina raha ukiwa mbali na mimi crazy yeah! nakuhitaji milele njoo tujipange wote milele unipe malavidaviyazidi kilele yeah! showty you drive me crazy yeah showty you drive me crazy eeeeeh Pre chorus ukinibania ntaumia, utanifanya daily nalia nalia baby sitovumilia vumila kwani moyo umekuchagua chagua weweX 2 Chorus sitomwacha sitomwacha huyu mtoto mzuri nikimpata ananipagawisha pagawisha anavyowaka uzuri wake kama taa showty nikibalieee showty niwe nawee X 2 Verse 2: Ngwea yeah , cowbama na east zoo yooh, holla! nizaidi ya zay b jinsi alivyo gado huyu baby figure yake roll modal aah anajiheshim anaheshimika kila angle hakuna nachofeel kwake zaidi ya mapendo sina mkataba nae bali nna malengo anajua kuhandle (ahaaaa) hana skendo body yake inakubali kila style ya pamba clssic million dolla smile anauchanganya ubongo wangu ka bacteria siku nisipo muona i feel sick, like malaria sio mi wakwanza , nilianza toka enzi wengi wamechanganyikiwa na mapenzi she ...

T.I. Sentenced To 11 Months In Prison

Image
A federal judge sentenced T.I. to 11 months in prison Friday (October 15) during a probation hearing, where the rapper was found to have violated the terms of his supervised release, according to the Atlanta Journal-Constitution.The prosecution sought to send T.I. (real name: Clifford Harris) back to prison for two years, The Associated Press reported. But the rapper pleaded with the judge to lessen his punishment and instead help him with his drug dependency, according to AP.Last month in Los Angeles, the rapper was arrested after a traffic stop, when police discovered drugs on him and his wife, Tameka "Tiny" Cottle. The incident prompted Friday's hearing. According to police documents obtained by several media outlets leading up to the hearing, at the time of his arrest, the rapper tested positive for opiates, was in possession of Ecstasy, and was also associating with a felon, who was present in his vehicle during the bust. T.I. was released from a halfw...

SAMAHANI

Kwa wale wapenzi wa blog hii kidogo nilikuwa na Matatizo ya msiba pia kwa sasa niko kishule zaidi so kidogo hii kitu naona kama naipa muda mchache kidogo kwa sababu muda mwingi nakuwa shuleni,si unajua kuongeza elimu kidogo.....but tuko pamoja wapenzi wote wa blog hii.