Posts

Showing posts from December, 2010

MIRADI YA TASAF INALIWA NA WAJANJA WACHACHE

Image
Meya wa Manispaa ya Musoma Alex Kisurura akitazama sakafu iliyovunjwa na wanakamati wakidai eti ni mbovu baada ya kuletewa fedha zingine za kukamilishia jengo habari hii ni kutoka www.mwanawaafrika.blogspot.com

TRENI YA KWENDA KIGOMA YAANZA

Image
WAZIRI wa Uchukuzi, Omary Nundu amezindua safari ya treni ya pili inayosimamiwa na Kampuni ya Reli nchini (TRL) Kwenda Mkoa wa Kigoma kufuatia shida ya usafiri inayowakabili wakazi wa mkoa huo. Kuzinduliwa kwa treni hiyo kunatarajiwa kupunguza adha ya usafiri inayowakabili wakazi wa mkoa huo kwa kipindi kirefu sasa. JE HUDUMA HII NI KWA SIKUKUU TU? Akizungumza na baadhi ya abiria waliokuwa ndani ya treni hiyo jana,Waziri Nundu alisema kuzinduliwa kwa treni hiyo kutawasaidia wananchi kwenda kusheherekea sikukuu ya mwaka mpya ambapo Serikali imeamua kuruhusu treni hiyo ianze kazi ili kusafirisha abiria wanaopenda kwenda kula sikukuu ya mwaka mpya katika mikoa ambayo treni hiyo inapita. STESHENI YA MWANZA, ZAIDI YA KUSAFIRISHA MIZIGO, KITUO HIKI HAKIJATOA HUDUMA YA USAFIRI KWA ABIRIA TANGU ZILIPOSITISHWA HUDUMA ZA TREN. Hata hivyo wakati Nundu akizindua safari ya treni hiyo ilibainikia kwamba menejimenti ya Shirika la Reli nchini (TRL) inayongozwa na wawekezaji kutoka India hawakufurahis...

Rick Ross – Ashes To Ashes Download Hip Hop Music

Image
download it from http:/ /www.dopehood.com/

SIFAHI ALBUM LAUNCH

Image

POZI LA KUFUNGIA MWAKA

Image
hapo vipi? kuna utata?

KELVIN WA BBA ATUA BONGO KWA MAANDALIZI YA HARUSI

Image
Big Brother Africa winner wa mwaka 2009,Kelvin Chuwang Katua Bongo kwa ajili ya maandalizi ya Harusi yake ambayo inafanyika mapema next week,posa with all that keshatoa na anasubiri harusi yake na Elizabeth Gup t a. source www.kilinyepesi.blogspot.com/