CPWAA KUZINDUA LEO ALBUM YAKE MAISHA CLUB

BONGO FLAVA ENTERTAINMENT EVENTS,

Yule bingwa wa kupiga crunk za hatari na beats za mdomo hapa Bongo Cpwaa atakuwa anazindua album yake inayokwenda kwa jina la "PWAA" Katika ukumbi wa Maisha club leo hii tarehe 13 FEB show hii si ya kukosa kabisa. Atasindikizwa na wasanii kibao kama Suma Lee,Chid Benz, Dully sykes,Quick Rocka na wengine kibao.

DON'T MISS THE SHOW

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA