WEBSITE IKO KATIKA MATENGENEZO

Kwanza kabisa napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa wale wote wanaofatilia habari mbalimbali kupitia katika website hii, nimekuwa kimya sana kutoa habari kwa kuwa nilikuwa busy na shule, lkn kwa sasa shule imekwisha nimerudi javini.

Kwa sasa website hii itakuwa ikifanyiwa matengenezo ya hapa na pale kwa ajili ya kuiboresha zaidi na kuiweka katika mwonekano mzuri wa kuvutia,hivyo inaweza kutokea hali yoyote ile ya vitu kuto kuonekana vizur.

Twendelee kupeana support.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA