Posts

Showing posts from August, 2013

CHEKA KAFANYA KWELI ANGALIA HII VIDEO CLIP

Image

WAPENZI WA MOVIE HIZI WEBSITE ZINAKUHUSU.

Image
Matumizi ya Internet sasa hivi yanakuwa kwakasi sana Duniani, hivyo badala ya kwenda kwenye majumba ya cinema, unaweza kufurahia kuangalia Movie bila malipo yeyote, isipokuwa umejiunga na huduma za Internet. Na hizi ndizo WESITE zinazotoa fursa hiyo, kama unastress unaweza enjoy kwa kutembelea website hizi: NB: Bonyeza jina husika liyakuelekeza kwenye website husika 1.  Popcornflix   2.  Crackle  - 3.  Archive – Moving Images  - 4.  Snagfilms  - 5.  YouTube Channel – Movies  - 6.  Hulu  - 7.  Viewster  - 8.  Classic Cinema Online  - 9.  Retrovision  - 10.  Public Domain Torrents  - TOA MAONI YAKO HAPA CHINI PIA USISAHAU KU LIKE PAGE NA KUSHARE

VICHWA VYA MAGAZETI LEO JUMAMOSI 31 AUGUST HIVI HAPA.....

Image
 

Makundi ya UEFA Champions League hadharani.

Kundi A . Manchester United . Shakhtar Donetsk. Bayer Leverkusen. Real Sociedad. Kundi B. Real Madrid. Juventus. Galatasaray. Fc Coopenhagen. Kundi C. Benfica. Paris St Germain. Olympiakos. Rsc Anderletch. Kundi D. Bayern Munich. CSKA Moscow. Manchester City. Viktoria Plzen. Kundi E. Chelsea. Schalke 04. Fc Basel. Steua Bucharest. Kundi F. Arsenal. Oylmpique Marseile. Borrusia Dortmund. Napoli. Kundi G. Fc Porto. Atletico Madrid. Zenith St Petersburg. Austria Wien. Kundi H. Fc Barcelona. Ac Milan. Ajax Amsterdam . Glasgow Celtic.

MAONYESHO YA NANE YA BIASHARA YA AFRIKA MASHARIKI KUANZA RASMI KESHO KATIKA VIWANJA VYA NYAMAGANA JIJINI MWANZA

Image
Mwenyekiti wa Chama Cha Wafanyabiashara wa Viwanda na Kilimo Elibariki Mmari (katikati)  akizungumza na vyombombalimbali vya habari kuhusu ujio wa Maonyesho ya nane ya Biashara ya Afrika Mashariki, kulia ni Muweka hazina wa TCCIA Mwanza Bw. Majid Igangula na kulia ni Makamu mwenyekiti wa TCCIA Mwanza Bw. Leopard Lema .  Maonyesho ya NANE ya Biashara kwa nchi za Afrika Mashariki (EastAfrica Tarade Fair) yanayoandaliwa na TCCIA mkoa wa Mwanza yanataraji kuanza rasmi  tarehe 30/08/2013  mpaka tarehe 8/09/2013 katika viwanja vya Nyamagana jijini Mwanza yakihusisha makampuni mbalimbali ya bidhaa ndani na nje ya nchi. Licha ya Maonyesho hayo kutumika kama jukwaa kwa makampuni mbalimbali ya ndani  na nje kuonyesha shughuli na huduma wanazozitoa pia itakuwa ni fursa ya yatatumika kama fursa ya kuanzisha mitandao katika dhana ya usambazaji wa bidhaa. Hii ni fursa ya wakazi wa Mwanza kujifunza jinsi ya kuboresha bidhaa zao kupitia ushindani,...

PAMOJA REGGAE NITE @NEW MSASANI CLUB EACH FRIDAY KARIBU SANA

Image

TAFES SAUT Praise n' Worship Team - HALLELUYA (Official HD)

Image

ANGALIA KICHUPA KIPYA CHA MSANII T NOCK -Nionyeshe Njia KILICHOTENGENEZWA APRILMEY VIDEOZ

Image
Directed by Kenny Ukiyz (Aprilmey videos), Produced by Dr.Eddo(Zoo Records), Shot in Mwanza_"Rock city"

REGGAE PAMOJAH NITE @MSASANI CLUB ON 16 AUGUST

Image

EID MUBARAK WADAU WOTE!!!

Image
Nawatakia sikukuu njema ya Eid -Al -Fitr

ASANTENI WADAU KWA HONGERA ZENU

Image

International Reggae Event in Town!! Happening on 16 Aug @ New Msasan Club!!

Image

VICHWA VYA MAGAZETI LEO AUGUST, 4

Image