MPIGIE KURA DIAMOND PLATNUMZ KATIKA TUZO ZA KORA

Diamond Platnumz safari hii ameingia katika category mbalimbali za kuwania tuzo za KORA, hivyo kama shabiki wake na mpenda mziki kwa ujumla tumia dakika zako chache tu katika ukurasa wa facebook wa KORA awards katika kumpigia kura yako,angalia post tu aliyotokea picha yake kwa kucomment jina lake kwa chini.

Diamond ameandika katika ukurasa wake wa facebook hivi "Tafadhari ukiwa kama shabiki au mpenzi wa muziki wangu naomba unipigie kura katika Tuzo hizi za KORA ili niweze kuibuka na ushindi.... ingia katika Facebook page yao kisha Katika kila post niliyoshiriki Comment kwa kuandika jina langu Diamond Platnumz"
 

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA