AUDIO: SIKILIZA NA KUDOWNLOAD NYIMBO MPYA YA C-FEZA "NALIKUTEMWA"

Hitmaker wa "Nishike mkono" C-feza kaja na ujio mpya wa "Nalikutemwa" wimbo ambao umefanyika nchini Zambia katika jiji la Lusaka kwa kumshirikisha  Selasie, msanii kutoka Zambia wimbo huu ukiwa umeandaliwa na mtayarishaji wa mziki kutoka Lusaka- Zambia anayejulikana kwa jina la R-RONNY.

Wimbo huu imeimbwa kwa lugha mbili yaani kiswahili na kibemba lugha inayozungumzwa kutoka Zambia

Sikiliza na kudownload hii ngoma kali.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA