NEW VIDEO: Young Killer "Mungu Baba" Official Video Ft. Linah | Ommy Dimpoz | Roma

Erick Msodoki aka Young Killer ameachia video mpya ya wimbo wa "Mungu baba" audio ya wimbo huu ilitoka mwaka 2014 ambapo alimshirikisha msanii "Maulo"aliyeishambulia chorus kwa ustadi mkubwa,katika video hii kuna baadhi ya  wasanii wameongezwa kama Linah akishambulia chorus iliyofanywa na Maulo pia yupo mkali wa Wanjera, "Ommy Dimpoz" na Roma.

Video imeongozwa na Director Khalifan Khalmandro

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA