HABARI NJEMA KWA WATUMIAJI WA WHATSAPP SASA UNAWEZA KUPIGA NA KUPOKEA SIMU.JIFUNZE JINSI YA KUFANYA

Habari mpya kwa watumiaji wa mtandao wa whatsApp, sasa huduma ya voice call kutoka app ya whatsApp imeanza kufanya kazi, tangu jana app yao imefanyiwa new update! Lakini App hii itakuwezesha tu kupokea simu kutoka kwa mtu ambaye account yake ya whatsApp iko activated, fuata maelekezo yafuatayo ili kuweza kupata huduma hii.

1.Kwanza ingia kwenye website ya link hiyo hapa chini iliyoandikwa download na uweze kudownload WhatsApp yenye version 2-11-56, usi unistall kwanza whatsApp unayotumia.

DOWNLOAD HAPA ukimaliza install kwa kureplace whatsapp vesion unayotumia kwenye simu yako.

2. Mara baada ya kuinstall whatsapp version mpya tuma msg ya kuomba kuactivetia whatsapp yako kwenda  namba hii 0715 019393 au kwa mtu yoyote unayejua kwamba ameshaanza kutumia whatsapp voice call, kupitia namba hiyo hapo juu  account yangu tayari imeshakuwa activated mimi nitakupigia ili uweze kupokea, ukipokea tu tayari account yako itakuwa activated na utaweza sasa kupiga simu kwa mtumiaji mwingine wa whatsApp ambaye account yake atakuwa ameshakuwa update.

Muhimu: utaweza kupiga na kuongea na mtumiaji mwingine wa whatsapp ambaye tayari amesha update whatsapp yake kupitia play store.

Comments

Popular posts from this blog

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA