Posts

WAFANYABIASHARA MKOA WA MWANZA WAGOMA TENA KUPINGA MASHINE ZA EFD

Image
Mgomo wa wafanyabiashara kugomea mashine za kielektroniki za EFD umezidi kushika kasi katika baadhi ya mikoa kama ilivyotokea jana katika baadhi ya mikoa kama Mara, Iringa na Dar Es Salaam, hali hii imeendelea leo katika jiji la Mwanza pia na Dodoma kama unavyoona katika hizi picha zilichukuliwa jijini mwanza na Blogger Gsengo pi picha ni kutoka blog ya gsengo

UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI

Image
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UHAMISHO NA UTEUZI WA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI _______________________________________ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amewahamisha na kuwateua baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri kama ifuatavyo:- 1.0        OFISI YA RAIS Hakuna mabadiliko. 2.0         OFISI YA MAKAMU WA RAIS 2.1  Waziri wa Nchi (Muungano) - Hakuna mabadiliko 2.2    Mhe. Eng. Dr. Binilith Satano MAHENGE (Mb)             Waziri wa Nchi (Mazingira). 2.3     Mhe. Ummy Ali MWALIMU (Mb)              Naibu Waziri  3.0        OFISI YA WAZIRI MKUU Hakuna mabadiliko               4.0     WIZARA              4.1    WIZARA YA FEDHA 4.1.1         Mhe. Saada Mkuya SALUM (Mb)                         Waziri wa Fedha                   Mhe. Mwigulu Lameck NCHEMBA (Mb)                               Naibu Waziri wa Fedha 4.1.2        Mhe. Adam Kighoma Ali MALIMA (Mb)                          Naibu Waziri wa Fedha     

Hemedy PHD ft. Gelly wa Rhymes - The One

Download Stereo ft Ben Pol - Usione Hatari

DOWNLOAD RASIMU YA PILI YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 2013

Ile rasimu ya pili ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshatolewa hii hapa soma kwa umakini uweze kuichambua na kuona wapi bado kuna matatizo. DOWNLOAD RASIMU HAPA

PATA UKWELI KUHUSU MWANAMALUNDI, MTU WA MAAJABU ALIYEWAHI KUTOKEA KATIKA HISTORIA YA KABILA LA KISUKUMA

Image
Chukua japo dakika 10 za kusoma kitabu cha mwanamalundi, mtu maarufu aliyewahi kutokea katika historia ya kabila la kisukuma, hizi ni picha nilizozitoa katika kitabu hicho chenye karatasi kama 7, ni mojawapo ya kitabu nilichotamani kukisoma kupata ukweli juu ya mtu huyu, kwa bahati nzuri nimekikuta kwa mama yangu mkubwa katika kabati lake la vitabu, hivyo nikaona sio mbaya nikiweza kushare na marafiki zangu ambao nao wanatamani kujua historia ya mtu huyu maarufu kuwahi kutokea hapa Tanzania.

HII NDIO REPOTI ILIYOWAONDOA MADARAKANI MAWAZIRI WANNE

TAARIFA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA KUHUSU TATHMINI YA MATATIZO YALIYOTOKANA NA OPARESHENI TOKOMEZA ; 1.0 UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, wakati Bunge likijadili hoja ya kuahirisha shughuli za Bunge ili kujadili jambo muhimu la dharura kwa mujibu wa Kanuni ya 47 ya Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la 2013, iliyowasilishwa na Mhe. Said Nkumba, Mbunge wa Sikonge kuhusu Mgogoro kati ya Wafugaji na Wakulima, Hifadhi na Uwekezaji, Mheshimiwa Spika alitoa Uamuzi ‘Speakers Ruling’ kuwa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira ishughulikie kazi ya kutathmini na kuangalia jinsi Mpango wa Kupambana na Majangili ulivyopangwa na kutekelezwa na Serikali kupitia ‘Operesheni Tokomeza’. Kwa mujibu wa kumbukumbu za Taarifa Rasmi za Bunge za tarehe 1 Novemba 2013, wakati Bunge likihitimisha Hoja ya Kuairisha Shughuli za Bunge, Mhe. Spika alitoa uamuzi ufuatao:- …Kamati ile ya kawaida ya Maliasili itaendelea na kazi yake ya kufanya tathmini ya kuangalia jins